Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Uwezi kataa kupendwa... mtu akikupenda mwache kupende
''Let LOVE lead...'' by Jerrymalisa.
Hapo salute, nimekubali mkuu. You living your talks!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezi kataa kupendwa... mtu akikupenda mwache kupende
Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa
Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa
Haha hizo hatrick mbili na mengine mawili mi sitayaweza kwakweli ila haitatokea hvyo sumbai hawezi kuacha ww mcuteSio useme sory ni ungoje aje unitetee lasivyo kibarua cha kunigegeda kitakuhusu
Akikuacha tu ni pm nikupe mapacha maana nina bahati nao sanaa if possibleSio useme sory ni ungoje aje unitetee lasivyo kibarua cha kunigegeda kitakuhusu
nitokee Mimi uone kama nitakukubalia
natafuta ajira kama hiyo. na 'CV' yangu iko full detailed & marketable in that regard. Teh teh. CC: Evelyn Salt mwalimu wangu
Afadhali mkuu unisaidie?mmmmmh unamaanisha nini???
Kati ya kumi watakaokataa hawazidi wawili
Afadhali mkuu unisaidie?
mmmmmh unamaanisha nini???
Sababu zinaweza kuwa nyingi sana. Kuna kutovutiwa. Kuwa na mtu unayejihusisha naye tayari. Maadili. n.k.
NIJARIBU NA MIMI KAMA SIJAKUKATAA.....hahahah...!!
Namaanisha huko pm nachukuaga mazoezi ya kutongoza watu na hawajachomoa