Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,567
Eeehe!! Wacha nifurahi mie.
Sababu zinaweza kuwa nyingi sana. Kuna kutovutiwa. Kuwa na mtu unayejihusisha naye tayari. Maadili. n.k.
Wenyeji wa jamvi salaaam.
Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa kwa nguvu zote.
Hivi hata kama hujawahi kukutana na hali hii unahdani ni mambo gani yanayoweza kuwa sababu kwa wewe kumkataa mwanamke?
natanguliza shukrani zangu.
Kati ya kumi watakaokataa hawazidi wawili
Sio nane watakataa
Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa
Aaaah wapi.....
''Im thankfull to all those who say NO to me..its because of them i did it myself'' by CUTE b