Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

Tumepitia huko huko wakati wa kuja hapa duniani kwanini tusiugue Kansa mwili mzima,halafu kuna ubaya gani kupaKiss mahali hapo muhimu kwa uwepo wetu.

Piga mbizi kijana kingali meno bado iko
Shika Mic Msichana kingali sauti bado iko.
 
Hahahaaaaaa woteeee watakugaaa na cancer mpwaaaa
 
Ewe Mwenyezi Mungu tunakuomba utuepushe na huyu (HPV-16)
 
Kwa akili ya kawaiiiiiidaaaaaaaaa tuuu ni propaganda hizo.

Hiyo kansa inatembea vipi mpaka kwenye koo?

Au mpaka umeze mate yale ya pale mdomini alafu yaende kwenye koo?

Kuna virusi vinaambukizwa kupitia mate?
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
 
Duuuh dakika 45 zilizopita nimetoka kuzama hapo ndichi chumvini huyu mtoto amenisumbua takribani miez mitatu sasa leo kwao alibaki pekee nikamsogeza getto aseee kuna wanawake ni wasafi sijawai ona zama sana chumvini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili ya kawaiiiiiidaaaaaaaaa tuuu ni propaganda hizo.

Hiyo kansa inatembea vipi mpaka kwenye koo?

Au mpaka umeze mate yale ya pale mdomini alafu yaende kwenye koo?

Kuna virusi vinaambukizwa kupitia mate?

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Kwani viko kwenye mate??
 
Hivyo virusi vipo kwenye uke umesema isokeeey.

Sasa ukilamba ukee hivyo virusi vinafikaje kwenye koo huko?

Vinasafiri katika nini mpaka vifike kwenye koo na kusababisha hiyo kansa?

Kupitia kwenye mate yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…