Mapenzi/Mahusiano: Mambo gani zamani hayakuwezekana lakini sasa ni mepesi tu

Binti kuzalia nyumbani, zamani Binti akipata mimba nyumbani anafukuzwa, na mama akileta kiherehere kumtetea na yeye anafukuzwa.......ila siku hizi Binti akibeba ujauzito ndio kwanza baba anampa na pesa za bajaji za kwendea clinic......usingle mother umekuwa fashion.
Sijui kile kizazi Cha wababa mashababi wasoyumbishwa na wake zao kimefia wapi.
 
Pitia soda kwa Muha ntalipa
 
Si mnataka 50 kwa 50? Haya twende tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…