Mapenzi/Mahusiano: Mambo gani zamani hayakuwezekana lakini sasa ni mepesi tu

Mapenzi/Mahusiano: Mambo gani zamani hayakuwezekana lakini sasa ni mepesi tu

Mimi siamini katika 50/50, huu no mfumo ulowekwa na mabeberu ili kumtoa mwanamke ndani, kumuondolea usimamizi na kumleta nje ili umnyonye.......mwanamke ametumika kama weak link ya kupitisha unyonyaji.
Wanaume wa kiafrika amkeni jamani, tunataka kile kizazi ambacho baba ndio final say, akikohoa tu hadi panya wanahama nyumba.
Its too late, tena ukute ana kadegree kake ka chupi na kajikazi kake hapo anaamini na yeye ni mwanaume kasoro mkia, wanaume wameamuwa kuwaacha na kukaa kimya otherwise utapata mada case.
 
Hakika kwa sasa kumla mtu na mwanae ni simple sana
 
Back
Top Bottom