Mapenzi/Mahusiano: Mambo gani zamani hayakuwezekana lakini sasa ni mepesi tu

Nilikua naona kula mashangazi ni kitu kimoja kigumu sana...

Ila sasa hivi alhamdullilaah namshukuru Mungu kwa week naweza kula hata watatu...

Sema week hii mambo yameanza hovyo mana wana vikao so poa
Khaah 😳😳😳 nkajua umeacha we mtoto
 
Si mnataka 50 kwa 50? Haya twende tu.
Mimi siamini katika 50/50, huu no mfumo ulowekwa na mabeberu ili kumtoa mwanamke ndani, kumuondolea usimamizi na kumleta nje ili umnyonye.......mwanamke ametumika kama weak link ya kupitisha unyonyaji.
Wanaume wa kiafrika amkeni jamani, tunataka kile kizazi ambacho baba ndio final say, akikohoa tu hadi panya wanahama nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…