Futota
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 521
- 88
Mkuu umenena sana! nimeipenda sana hii comment sasa waweza kunimegea nifanyeje kidogo angalau asituke na kuona kweli hii ngoma gari sana!
Ahhh, vibwagizo kama vile vile mkuu,
Mitoko ya weekend, vizawadi zawadi kwake na wadogo zake
SMS za kila siku kupenda kujua siku yake inakwenda vipi
and not forgetting MALAVIDEVI kwa wingi LOL
Muhimu zaidi ni kuweka mkakati ya kumtuma m-sheng na POSA kwao