Mapenzi matamu kweli, ila yamepelea neno YES.

Mkuu umenena sana! nimeipenda sana hii comment sasa waweza kunimegea nifanyeje kidogo angalau asituke na kuona kweli hii ngoma gari sana!

Ahhh, vibwagizo kama vile vile mkuu,
Mitoko ya weekend, vizawadi zawadi kwake na wadogo zake
SMS za kila siku kupenda kujua siku yake inakwenda vipi
and not forgetting MALAVIDEVI kwa wingi LOL
Muhimu zaidi ni kuweka mkakati ya kumtuma m-sheng na POSA kwao
 
Kama tayari ana mtu wake wewe mwache bana. Kwanza hiyo habari ya yeye kuwa na mtu tayari ni ishara tosha kuwa hayuko kidete. Kama ambavyo anamfanyia huyo jamaa yake wa sasa, wewe ukifanikiwa kumchukua na wewe huenda ipo siku itakula kwako kwa mtindo huo huo. Sasa hebu fikiria, utataka hayo yakutokee? Mkuki kwa binadamu maumivu yake usipime.

Miafrika Ndivyo Tulivyo..[/QUOTE]
Halafu hiyo siyo signature yako natoa siku saba uitolee maelezo ya utetezi, otherwise itabidi uibadilishe, upende usipende. "Miafrika Ndivyo Tulivyo", tukoje? Miafrika! mibaya, mizuri, mijizi, michapa kazi,..., au ikoje ikoje hiyo miafrika? Ningependa utoe maelezo ya kuridhisha JF wakuelewe kuhusiana na hii signature yako.
Vingnevyo itabidi ufanyiwe major operation ya ubongo kwa mlolongo huu. Wa-evacuate kila kitu kichwani kwako, halafu baadaye wana re-fill the vacuum, a process analogous to distillation of water, a "water-vapour-water" process. Yours is going to be referred to as "distorted brain-vacuum-brain" process!
 
dah, hivi Nyanizo yupo karibu hapa kweli?
 
Mhhh kuna watu wana bahati kupendwa na ku proposiwa kwenye charting tu, haya mie sijui! ila kwa kukupa tu mawazo huyo anakuchukulia kama toy tu la kuchati kama angekuwa yuko free na anakupenda angekubali mapema tu kama yeye hadi alinuna ulipomwambia una mpenzi, watu wengine bwana wako selfish kweli utadhani utamu wanaujua wao tu, pole mwaya rudi sokoni wako wengi tu
 
Hili jamaa kwa kutaka wengine waharibikiwe kimapenzi halafu lenyewe linyookewe! NN, una kiu kubwa mno ya mapenzi rafiki yangu, nadhani hujawahi kupendwa na msichana yeyote maisha yako yote, sababu ushauri wako kwa wengine, wanaume wenzako, always ukiuangalia sana, unakuwa uko inclined to the-all-negativities, kuonyesha kuwa unaona wivu wenzako kupendwa, au kuwa katika mapenzi ya dhati. Tafuta pace ya angalau kuwa unatoa ushauri positive kwa wenzio, at least mara moja kwa mwaka, siyo mbaya!

Huyo huyo huyo huyo mjuaji wa kusema! Anasema yaso na maana. Bahati nzuri hii ndo mara yangu ya mwisho kukujibu wewe kifuu tundu.

Na uache kujipendekeza. Mimi siyo rafiki yako. Sikujui hunijui na sitaki kukujua. So kick rocks and die.
 
Miafrika Ndivyo Tulivyo..[/QUOTE]
Halafu hiyo siyo signature yako natoa siku saba uitolee maelezo ya utetezi, otherwise itabidi uibadilishe, upende usipende. "Miafrika Ndivyo Tulivyo", tukoje? Miafrika! mibaya, mizuri, mijizi, michapa kazi,..., au ikoje ikoje hiyo miafrika? Ningependa utoe maelezo ya kuridhisha JF wakuelewe kuhusiana na hii signature yako.
Vingnevyo itabidi ufanyiwe major operation ya ubongo kwa mlolongo huu. Wa-evacuate kila kitu kichwani kwako, halafu baadaye wana re-fill the vacuum, a process analogous to distillation of water, a "water-vapour-water" process. Yours is going to be referred to as "distorted brain-vacuum-brain" process!

Unataka maelezo? Wewe jali tu yanayokuhusu manake ukizidi kujipendekeza ntakufyeka na ukijilengesha ntakukata. Moto hauonjwi kwa ulimi na nyumba ya udongo haipigwi deki. Na kamwe mwalimu hafanyi mtihani. Jinyanyue sasa....
 
Huyo huyo huyo huyo mjuaji wa kusema! Anasema yaso na maana. Bahati nzuri hii ndo mara yangu ya mwisho kukujibu wewe kifuu tundu.

Na uache kujipendekeza. Mimi siyo rafiki yako. Sikujui hunijui na sitaki kukujua. So kick rocks and die.

duu si mchezo
 
Mhhh kuna watu wana bahati kupendwa na ku proposiwa kwenye charting tu, haya mie sijui! ila kwa kukupa tu mawazo huyo anakuchukulia kama toy tu la kuchati kama angekuwa yuko free na anakupenda angekubali mapema tu kama yeye hadi alinuna ulipomwambia una mpenzi, watu wengine bwana wako selfish kweli utadhani utamu wanaujua wao tu, pole mwaya rudi sokoni wako wengi tu
Pouwa nimekusoma!
 
Huyo kama kweli ana mchumba basi kinachopungua kwa huyo mchumba ni "chating session" ambayo anaipata kwako.

Au hana mchumba ila anakuchallenge aone juhudi zako za kuhakikisha unampata ili athibitishe upendo wako kwake LA

Kama umechunguza na kubaini kweli ana mchumba,then akakubali pia kuwa nawe na mnachat muda mwingi(obviously) mambo ya mapenzi the HAFAI KUWA MKE.You know why????????????????

Kitakachopungua kwako atakitafuta kwa mwingine ie VIDUMU otherwise try your lucky
 
This one makes sense..
 
Fuata ushauri huu hapa kama hujipendi. Kama ni kweli ana mtu na anakufurahisha kiasi hicho ujue ukimuoa ataanza kuchat na mimi halafu JF patachimbika (Just kiddin') Ukweli kama utamtoa kwa jamaa ujue kuna siku atakuja jamaa mwenyewe au mzimu wake katika umbile la mtu mwingine na utaibiwa huko huko ndoani na amini inauma hiyo! Usiombe. Thibitisha uhusiano wake na jamaa kama ni wa kweli maana wakati mwingine masister do huzuga wana watu ili wakuumize japo kidogo. Ukijifanya umesusa ndiyo utasikia (.....wewe naye.... hutaniwi?

Hapana mkuu, I beg to differ from wachangiaji hapo juu.
Unajua wanawake wanahusudisha sana kupata NDOA, hii ni hatua muhimu sana kwa ma-dame.
Sasa wewe chakarika kwa kasi, weka dhana zako zote wazi kuwa una mpenda na unataka kufunga pingu za maisha naye.
Na kwamba upo tayari siku yoyote kwenda kujutambulisha nyumbani kwao, huna kikwazo.
In summary, wewe kula deep na mtoto, huyo mshikaji anaye sua sua hata pata kitu, wewe utachukua jumla, I tell U
 
Back
Top Bottom