Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanaoπŸ₯°πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰ ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya :

1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike

2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini .

3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali nakumpenda akuulize siku yako imeendaje na siku yake umuulize imeendaje ,akuogeshe ,umuogeshe,akulishe umlishe , mpeane vyenu ulale , apike Cha jioni mle akuandae , umuandae Kwa usiku mkalale.

4. Makosa yakitokea kama unampenda usimgombeze mrekebishe Kwa upendo,akuelewe moe haki yake nakila siku iwe style mpya za kumpendeza yeye . Walahi maisha nikupendana Carrasco putin I LOVE Y ❀️
 
Imeandikwa uishi nao kwa akili
 
Katika kufanikiwa kijana wa kiume jiepushe Sana na ngono, kama utazidiwa Sana Basi kuwa hata na mchumba mmoja.

Na usizidishe kufanya mapenzi zaidi ya mara moja au 2 kwa mwaka, jifunze kufanya semen retention. Hii itasaidia kujenga mwili na akili yakoo.

Jenga ngome yako kwa ajili yako, familia yako, jamii yako na kizazi chako kijacho, usichukulie poa ngono hasi inaleta aibu,nuksi, magonjwa na mimba zisizotarajiwa
 
Wanaume hawatunzi wanawake zao mpaka wanawake zao wanasumbua vijana wadogo wadogo na wanaume za watu ili waendeshe maisha ya kila siku .
 
Back
Top Bottom