Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi huwezi kujua atafanya nini.
Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake akitegemea mwanamke atamsamehe na kumpuuzia kumbe mke wake alikuwa hajasamehe usaliti aliofangiwa na mume wake. Unajua nini mwanamke alichokifanya? Weeeh!! Ni hatari.
Kipindi chote Cha ndoa mwanaume alidhania watoto ni wa kwake na sio kama alivyodhania. Mke wake alipochoka kuvumilia alimwambia ukweli sijawahi kusamehe Kwa usaliti wako nimeamua kulipiza kisasi Cha kutembea na baba yako pamoja na kaka yako. Watoto watatu ni wa baba yako na wawili ni wa kaka yako. Mwanaume alichanganyikiwa hajui afanye nini.
Je ungekuwa ni wewe mke wako amekufanyia hivo ungefanyaje?