Mapenzi na Mikasa yake

Mapenzi na Mikasa yake

Wise_lady

New Member
Joined
May 2, 2024
Posts
3
Reaction score
7
Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi huwezi kujua atafanya nini.

Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake akitegemea mwanamke atamsamehe na kumpuuzia kumbe mke wake alikuwa hajasamehe usaliti aliofangiwa na mume wake. Unajua nini mwanamke alichokifanya? Weeeh!! Ni hatari.

Kipindi chote Cha ndoa mwanaume alidhania watoto ni wa kwake na sio kama alivyodhania. Mke wake alipochoka kuvumilia alimwambia ukweli sijawahi kusamehe Kwa usaliti wako nimeamua kulipiza kisasi Cha kutembea na baba yako pamoja na kaka yako. Watoto watatu ni wa baba yako na wawili ni wa kaka yako. Mwanaume alichanganyikiwa hajui afanye nini.

Je ungekuwa ni wewe mke wako amekufanyia hivo ungefanyaje?
 
Ntamwambia hao wa baba ni wadogo zangu na hao wa kaka ni wanangu.......pita kushotooooooooo
 
Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi.....huwezi kujua atafanya nini.
Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake akitegemea mwanamke atamsamehe na kumpuuzia kumbe mke wake alikuwa hajasamehe usaliti aliofangiwa na mume wake. Unajua nini mwanamke alichokifanya? Weeeh!! Ni hatari. Kipindi chote Cha ndoa mwanaume alidhania watoto ni wa kwake na sio kama alivyodhania. Mke wake alipochoka kuvumilia alimwambia ukweli sijawahi kusamehe Kwa usaliti wako nimeamua kulipiza kisasi Cha kutembea na baba yako pamoja na kaka yako. Watoto watatu ni wa baba yako na wawili ni wa kaka yako. Mwanaume alichanganyikiwa hajui afanye nini.
Je ungekuwa ni wewe mke wako amekufanyia hivo ungefanyaje?
Ondoeni story za kipuuzi jukwaani. Mnadhani tuliopo humu wote ni watoto?
 
Naomba na Skonzii sita zile za bakhresa
 
Screenshot_20240427_020533_Instagram Lite.jpg
 
Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi.....huwezi kujua atafanya nini.
Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake akitegemea mwanamke atamsamehe na kumpuuzia kumbe mke wake alikuwa hajasamehe usaliti aliofangiwa na mume wake. Unajua nini mwanamke alichokifanya? Weeeh!! Ni hatari. Kipindi chote Cha ndoa mwanaume alidhania watoto ni wa kwake na sio kama alivyodhania. Mke wake alipochoka kuvumilia alimwambia ukweli sijawahi kusamehe Kwa usaliti wako nimeamua kulipiza kisasi Cha kutembea na baba yako pamoja na kaka yako. Watoto watatu ni wa baba yako na wawili ni wa kaka yako. Mwanaume alichanganyikiwa hajui afanye nini.
Je ungekuwa ni wewe mke wako amekufanyia hivo ungefanyaje?
tea_mobama-_012515064953.jpg
 
Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi huwezi kujua atafanya nini.

Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake akitegemea mwanamke atamsamehe na kumpuuzia kumbe mke wake alikuwa hajasamehe usaliti aliofangiwa na mume wake. Unajua nini mwanamke alichokifanya? Weeeh!! Ni hatari.

Kipindi chote Cha ndoa mwanaume alidhania watoto ni wa kwake na sio kama alivyodhania. Mke wake alipochoka kuvumilia alimwambia ukweli sijawahi kusamehe Kwa usaliti wako nimeamua kulipiza kisasi Cha kutembea na baba yako pamoja na kaka yako. Watoto watatu ni wa baba yako na wawili ni wa kaka yako. Mwanaume alichanganyikiwa hajui afanye nini.

Je ungekuwa ni wewe mke wako amekufanyia hivo ungefanyaje?
Amuache aolewe na hao waliompatia mimba.

Atafute mwanamke mwingine...
 
chai ya moto na kinbunga hiki cha hidaya nkitoka apa nkapiga nyeto
 
Yaani mtu achepuke halafu ulipize kwa kuleta watoto duniani kwa staili hiyo? Amewakosea sana watoto wake.
 
Back
Top Bottom