Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Kabisa
 
Ndio hawa watu wazima wanajua jinsi ya kupambana na sisi plus hayo mambo yetu miambiliii 😁!
 
Wanajidanganya kwa kudhani wazee hawajiwezi kunako Sita kwa Sita labla mwenye sukari na presha ila hao wengine usisubutu kukutwa na bwana pepsiiiπŸ˜¬πŸ˜€πŸ˜€
🀣🀣🀣🀣🀣! Kisukari na presha umenikumbusha msemo wa @Wigelekelo🀣🀣🀣!

Yaniii acha tu kuna wazee ni nukseee sana walai akikushikiliaaa uwiii😎!
 
Huko uliko hakuna wanawake? Miezi 4 kweli unahitaji pongezi. Kwanza umewezaje kuvumilia muda wote huo?
Ah sasa mbona unauliza swali la kizushi tena. Wapo ila ndio hawatoi bila ndalama. Ndio maana nimekuomba yako.
Ah unavumilia tuu sii unajua tena mpenzi revola anasaidia
 
..scope ya hayo mahusiano ni ipi!!? Are they both single ?..wanamingle au tayari Kila mmoja ana roster list yake huko kwingine?! ..mwaka huu nami nikipata lishangazi hivi la kwenda 40s hivi la kubadilishana mawazo na kushauriana mipango ya maendeleo ...sio Hawa wataka macho manne, daily invoices zisizo na kichwa wala miguu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…