Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Hapo mwishoni ndo pa msingi,, mtoa mada kaongea vitu muhimu lakini namba 5 yake sio kwa watu wazima wote,, wengine sie namba 5 tunaizingatia sana,

Umpate mtu mzima na ajue kubandua, unaweza mpa hadi maini akayakaange manioko
Aisee😂
 
1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,
Hamtaka kufwatana nyuma sawa, Je Lengo lenu ni nini? Maana mkipewa ndiyo mnaruka na kila mtu, mkiulizwa ooh, yupo busy sana na mambo yake wakati sisi pia ni binaadam. Mkipata wenzenu wakawabana, napo mnalia ooh kufuatana fuatana kumezidi...sasa mnataka nini?
 
Back
Top Bottom