Hamtaka kufwatana nyuma sawa, Je Lengo lenu ni nini? Maana mkipewa ndiyo mnaruka na kila mtu, mkiulizwa ooh, yupo busy sana na mambo yake wakati sisi pia ni binaadam. Mkipata wenzenu wakawabana, napo mnalia ooh kufuatana fuatana kumezidi...sasa mnataka nini?