Mapenzi nayo yana misimu

Mapenzi nayo yana misimu

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Kama ilivyo msimu wa mvua, msimu wa baridi, kiangaz nk: Kupanda mahindi msimu wa kiangaz ni kujitakia😥

Mapenzi nayo vivyo hivyo, msimu wa mapenz motomoto (ndo linaanza sasa), msimu wa mapenz vuguvugu (yaliyopoa), msimu wa mapenz ya kuvumilia a(hapa watu hujilazimisha kuendelea kuwa wapenzi)

Mkipita vipindi vyote Ivo ndo ufanye maamuz kama ni kuoana au kubebeana mimba au kujengeana nyumba maana mnakuwa na uhakika kwamba kweli mmeshibana. Siyo penz limewaka tu tayari umebeba mimba, umemnunulia gari yakipoa tayari lawama kibao.

Hakuna kisicho na mwisho bana. Uhai wenyewe una mwisho wake sembuse ......😆🙌
 
Back
Top Bottom