Mapenzi nayo yana misimu

Mapenzi nayo yana misimu

Langu halieleweki, akiwa na hela linakuwa Moto Moto, akiwa Hana tunakuwa hapo kwenye kuvumiliana.
 
Kiu hua haziishi mkiendekezana mnajikuta mnafanya hadi chini ya uvungu wa gari...

Mkikutwa ati mlikua mnapunga upepo, Sasa mbona mmelowana jasho...
🤣🤣🤣🤣🤣We Smart911 wewe....aisee🙌 huishiwi vituko.
 
Back
Top Bottom