Mapenzi nayo yana misimu

Mapenzi nayo yana misimu

Nimeusafiria sana moto, mwanza dom....nilikua mteja mzuri sana wa princess muro na princess shabaha mabus nlikua naona kama daladala tu.

Mi ndio maana naogopa kuzeeka kwasababu naogopa sitafanya mapenzi tena [emoji17][emoji17]
Hahaha, kama ulivyoeleza ni kweli basi unapenda kupelekewa moto sio poa. Wewe ukikutana na "mlemavu" kitandani lazima akukimbie.
 
Kama ilivyo msimu wa mvua, msimu wa baridi, kiangaz nk: Kupanda mahindi msimu wa kiangaz ni kujitakia[emoji26]

Mapenz nayo vivyo hivyo, msimu wa mapenz motomoto (ndo linaanza sasa), msimu wa mapenz vuguvugu (yaliyopoa), msimu wa mapenz ya kuvumilia a(hapa watu hujilazimisha kuendelea kuwa wapenzi)

Mkipita vipindi vyote Ivo ndo ufanye maamuz kama ni kuoana au kubebeana mimba au kujengeana nyumba maana mnakuwa na uhakika kwamba kweli mmeshibana. Siyo penz limewaka tu tayari umebeba mimba, umemnunulia gari yakipoa tayari lawama kibao.

Hakuna kisicho na mwisho bana. Uhai wenyewe una mwisho wake sembuse ......[emoji38][emoji119]
Safiii
 
Hahaha, kama ulivyoeleza ni kweli basi unapenda kupelekewa moto sio poa. Wewe ukikutana na "mlemavu" kitandani lazima akukimbie.
Kabla hajanikimbia mi ntakua nshajikataa zamani, ntavumilia kulala njaa ila sio kukosa dudu la yuyu
 
Mbona umechelewa sana kuomba mkuu,subiri zamu Yako bas ngoja nipange ratiba😋
Na wewe hushindiw aisee nimekuvulia kofia hahahah...

Ukiambiwa karibu, ndani ya nusu Sasa unasikia hodiii nishafika... Hahaha
 
Depal acha kuzurura Jumapili yote hii kuja hapa uniambie penzi lako lipo level gani...
 
Back
Top Bottom