Mapenzi nayo yana misimu

Mapenzi nayo yana misimu

Nimeusafiria sana moto, mwanza dom....nilikua mteja mzuri sana wa princess muro na princess shabaha mabus nlikua naona kama daladala tu.

Mi ndio maana naogopa kuzeeka kwasababu naogopa sitafanya mapenzi tena 😔😔
Raha ya kuusafiria unaanza kulowa wakati unakata tiketi....njiani unachochea tu plus vile vimeseji Bebi nakuleteaaa....ukifika ni Moto motoni.🤣

Mi hata nikizeeka kupelekeana Moto Kama kawa, labda pazibe.😂
 
Jamani wanawake wa jf wanakuchocha wee kuwa wanapenda kugegedana ..ingia pm sasa utapigwa mzinga uchoke
 
Raha ya kuusafiria unaanza kulowa wakati unakata tiketi....njiani unachochea tu plus vile vimeseji Bebi nakuleteaaa....ukifika ni Moto motoni.🤣

Mi hata nikizeeka kupelekeana Moto Kama kawa, labda pazibe.😂
Ukizeeka bilinge bilinge zinapungua, mifupa imekaza ukikunjwa sana tutakuja kukuona moi.....

Yani njia nzima unawaza namna utakavowasha moto, hii kitu ni tamu kwakweli.....
 
Shemeji unachokitafuta wee haya tuu...
😊😊
 
Aisee ngoja niongee na chairwaoman wa threesome afanye mchakato tupate thread ya threesome hapa.
Evelyn Salt kiongozi wetu kuna taarifa kuwa wapo wananchi wanataka kuwa wanachama hivyo ni vyea tukafungua thread yetu. Tunaomba muongozo wako
Daah fanya ivyo mzee lifunguliwe dude tushare ma ideas
 
Back
Top Bottom