Raha ya kuusafiria unaanza kulowa wakati unakata tiketi....njiani unachochea tu plus vile vimeseji Bebi nakuleteaaa....ukifika ni Moto motoni.🤣Nimeusafiria sana moto, mwanza dom....nilikua mteja mzuri sana wa princess muro na princess shabaha mabus nlikua naona kama daladala tu.
Mi ndio maana naogopa kuzeeka kwasababu naogopa sitafanya mapenzi tena 😔😔
Mi hata nikizeeka kupelekeana Moto Kama kawa, labda pazibe.😂