Bomba la fact.. Bingo🤙Mimi hujihudumia mwenyewe staki back up ili mtu ani control so najiweza na wewe mwanaume usitegemee kuni control na vtu vyako maana staki, pia wanaume wengi sikuhizi wanapenda kupewa kuliko kutoa vya bure loh
kabisaa...Na hatakuja aelewe hata dunia ibadili mzunguko wake
Sawa baki ulivyo. Kama haukujifunza kwenu then dunia itakufunza kwa namna yake....uzuri ni kwamba nature haibishiwi. Hapa unabishana na mimi unanichosha tu akili but kuna ukweli na utabishana nao vizuri....Huo huo utoto ndiyo ambao wanaume wengi mnaufanya kwenye mahusiano ya sasa! Yaani imagine mtu anakuambia maandiko yanasema mwanaume aliambiwa atamtawala mwanamke hata iweje!
Basi haya ukimleta kwenye maandiko hayo hayo ukamuambia yanasema kuwa mwanaume atakula kwa jasho lake anaanza kuleta kiswahili kirefu oohh sijui kuna kukwama kwenye maisha sijui nini! Sasa kwani muumba alipotamka hayo hakujua kuwa kuna kukwama kwenye maisha au ni nini!
Ukianza kujitegemea na kuanza maisha utaelewa hizo nadharia mnazojifunza huko Facebook na Instagram haziapply kwenye maisha.......Mnaongea as if wanaozinguaga kwenye mahusiano ni wanawake tu na kwamba wanaume huwa wako very innocent! Aise hii jinsia kweli iliumbwa kutupa lawama tu!
How do you mean?!If wishes were horses...!!
Wanasema "You will be hit by the reality"Sawa baki ulivyo. Kama haukujifunza kwenu then dunia itakufunza kwa namna yake....uzuri ni kwamba nature haibishiwi. Hapa unabishana na mimi unanichosha tu akili but kuna ukweli na utabishana nao vizuri....
Aisee hii mada umeielewa vyema kabisa upo wapi wkend hii nikununulie japo Guinness mbili za bardiI do believe love inabidi iwe win, win situation na sio win, lose, situation hapo lazima yaboe Sana, hasa one side ikiwa omba omba, inakuwa draining Sana, honestly mkikutana wapenzi na sio kuombana omba vitu au expectations flani mapenzi hunoga sana
Anahisi maisha yanafanyika kwenye wonderland? Af hawa wa hivi unakuta chuo alikuwaga mke wa mtu ila humu anatukaziaUkianza kujitegemea na kuanza maisha utaelewa hizo nadharia mnazojifunza huko Facebook na Instagram haziapply kwenye maisha.......
Cariha anakuwaga anapoteza network ila dish likikaaga freshi mambo yanakuwaga mswano sana.Aisee hii mada umeielewa vyema kabisa upo wapi wkend hii nikununulie japo Guinness mbili za bardi
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Tukitoa maandiko logic ya mwanaume inamwambia kulala na kuzaa na mwanamke yoyote anaevutiwa nae.....Oohh basi tufanye hivi hata kwenye suala la mwanaume kumtawala mwanamke tusiende kwenye maandiko tuyaweke pembeni kabisa halafu nikuulize hili swali! Kama mwanaume na mwanamke wote wanahudumiana na wote wanachangia bills pasu kwa pasu au pengine mwanamke ndiyo anatoa zaidi hapo utasema huyo mwanaume ni kichwa cha familia na kama jibu ni ndiyo je ni kwa misingi ipi?
Kumbuka tumetoka kwenye maandiko tumewaachia kina gwajima! Sasa tunatumia logic na tunaangalia hali halisi!
Wewe sasa unaishi vipi ndio napenda kujua.... Mbona una preach ambacho haupractice?!Nimeshakuambia wapo pia wanawake wengine wengi tu wanaohudumia familia ilihali wanaume wapo! Mbona unajitoa ufahamu rafiki?
Huyu muache abishane mwenyeweWewe sasa unaishi vipi ndio napenda kujua.... Mbona una preach ambacho haupractice?!
Hii sio lengo la mada, unapotosha mada kwa makusudi! Turudie kwenye lengo.Oohh basi tufanye hivi hata kwenye suala la mwanaume kumtawala mwanamke tusiende kwenye maandiko tuyaweke pembeni kabisa halafu nikuulize hili swali! Kama mwanaume na mwanamke wote wanahudumiana na wote wanachangia bills pasu kwa pasu au pengine mwanamke ndiyo anatoa zaidi hapo utasema huyo mwanaume ni kichwa cha familia na kama jibu ni ndiyo je ni kwa misingi ipi?
Kumbuka tumetoka kwenye maandiko tumewaachia kina gwajima! Sasa tunatumia logic na tunaangalia hali halisi!
Huyu Karma atakua anamsoma Sana yule jamaa insta anajiita Idd makengo ....yule jamaa anateka akili za wanawake kibaya anawapoteza badala ya awasaidie .! Ni mjinga Sana yule jamaa ana story za kutunga Sana na si za uhalisia bonzo kabisaAnahisi maisha yanafanyika kwenye wonderland? Af hawa wa hivi unakuta chuo alikuwaga mke wa mtu ila humu anatukazia
Wenzake walipokuwa shule walisema "education is better than money" na walikuwa na hoja nzito kabisa kutetea hiyo ajenda yao, sasa akawaulize bado wana maoni yale yale?!Wanasema "You will be hit by the reality"
True.... Ila unajua umasikini wa maarifa na hekima kwa mwanamke ni mbaya sana kuliko umasikini wa kipato kwa mwanaume.Anahisi maisha yanafanyika kwenye wonderland? Af hawa wa hivi unakuta chuo alikuwaga mke wa mtu ila humu anatukazia
Anahisi tupo kwenye midahalo ya ITV kipindi cha mgongano wa mawazo....
065664477...Nipe namba nikwambie kwa kina....