Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

True.... Ila unajua umasikini wa maarifa na hekima kwa mwanamke ni mbaya sana kuliko umasikini wa kipato kwa mwanaume.
And what makes you think kwamba ninyi wanaume hapa ndiyo matajiri wa maarifa? Pathetic!
 
Anahisi tupo kwenye midahalo ya ITV kipindi cha mgongano wa mawazo....
Oohh kwahiyo mlitaka tukubaliane na kila mnachosema hata kama tunaona kabisa kuwa hapa mmeingia chaka? Wanawake wa kiafrika kazi tunayo maana siyo kwa hii mizigo tuliyopewa!
 
Na mwijaku. Kwenye page za hawa jamaa mwanamke ni malaika ambaye hakosei, hasaliti, anaumizwa hisia haumizi, ananyanyaswa.......

Kitu wasichojua ni kuwa katika biashara yoyote jambo muhimu ni kumtengenezea mteja wako story itakayomvutia....
Kwani huku JF wanaume huwa mnafanya nini? Kwa mujibu wa wanaume wa huku JF ni kuwa mwanaume ni malaika hakosei na hata akikosea ni bahati mbaya tu au hata akikosea kwa makusudi basi ni haki yake sababu tu ni mwanaume!
 
Nature haijawai kuruhusu kitu kama hicho ndio maana jamii inakushaa......Masculinity(Alpha male) automatically hata kama ke anapesa nature itakataa kutumia pesa ya Ke!!! Sijui umenielewa

Kasome Semen retention benefits
 
Diiiiiiih
 
Nimelock curse upo her..... My soul ime sign vengeance kumuelekea, sijawahi kumwish mtu hell kama yeye.... And i wait for the day....
Haya mambo ujue yanaendaga mbele na kurudi nyuma. Ukiachana na mtu wish them well ndipo mema pia yatakapokujia. These things are natural and very biblically sound and straightforward.
Trust me.
If you do that (what you are currently doing) you will end up miserably sick to your spirit.
Move on and move on
 
Ah hawa bila kuenda nao sawa wanajifanya hawaelewi! Hata hapa wameshaelewa ila kukubali sasa ndiyo ishu!
Kuna wakati tunakubali ili mshinde but deep down we know the reality. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado mwanaume ataendelea kuwa kichwa cha familia maana there's no way mwanamke akatoa nusu kwa nusu. Naturally that wouldn't occur. Safety provision anayotoa mwanaume haiwezi kuwa equated na mwanamke hata kidogo. A man will always provide extra what woman can provide.
That's bottom line
 
Bro you need exposure! Kuna wanawake out there tunawajua wanatoa nusu kwa nusu na wanaume wao na wengine wanatoa zaidi kuliko wanaume wao ila tu wanashindwa kusema wanawafichia aibu wauname wao!
 

Jamanii [emoji1787][emoji1787]
Hakuna watu bahili kama wanawake
Tumeumbwa kupokea tu
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlikuwa hamjaoana ndio maana anasema vyake
 
Nowdays wanaume wanapenda kitonga balaa maisha yanabadilika jamani
Nashukuru wangu hanaga habare na visarafu vyangu navyopata
Huwa unamsaidia anapokwama kama ameshawahi kukwama au ndio kila mtu anakufa na chake?
 
Mahusiano uliyapiga stop Sasa unaishije? Binadam wa kawaida kwichi kwichi Ni muhimu na Ni lazima..! Twambie waishije bila mchenjuo? Au we lesbian ?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…