Hio uomba omba haipendezi na wala haikubaliki. Ila kuna ile una hustle unaona kabisa leo bila bila.Ahahahah unajua kuna ile mwanaume anakutegemea mwanamke hiyo sasa hata mim sikubali
Unajua siku hizi kuna wanaume ombaomba kama wanawake pia
Ahha hapanaSitaki hiyo pole yako kama nawewe ni miongoni mwa wanaofanya hivyo [emoji13]
Mwijaku si choko tu nae πππ anamtukuza sana mwanamke. Hapo wanawake wanajifeel thyself kinoma π π π !!!Na mwijaku. Kwenye page za hawa jamaa mwanamke ni malaika ambaye hakosei, hasaliti, anaumizwa hisia haumizi, ananyanyaswa.......
Kitu wasichojua ni kuwa katika biashara yoyote jambo muhimu ni kumtengenezea mteja wako story itakayomvutia....
Ahha hapana
HahaaaaΓ
kweli kabisa tatizo ni jinsi ambavyo jamii yetu inavyo perceive jambo hili .Hii ndio itikadi ya kishamba ambayo niko against nayo. Hapo kuna mijanamke itakimbilia kusema sindio mwanaume apambane tu na hali yake. Kwangu mie mapenzi ni lazima mwanamke aweze kujitoa bila hivyo siwezi hesabu nina mpenzi. Na ndio msingi wa hii mada mkuu.
Ila sasa kuna ukinzani wa fikra unaotokana na wanaume waliogeuzwa misukule na ndo wanatumika kama SI Unit ya kuja ku crush hii mada. Oh mwanaume ndo lazma atoe kwa mpenzi wake...in some instances anakosa ability ya kutoa wewe mkewe unasimamia wapi?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] haelewi eeh, wanawake wabinafsi hawanaga empathy that one i guarantee you. Ipo siku utasimangwa hadi ufe kama pensheni ya wema uliofanya for years.[emoji23]
Sawa....Haya mambo ujue yanaendaga mbele na kurudi nyuma. Ukiachana na mtu wish them well ndipo mema pia yatakapokujia. These things are natural and very biblically sound and straightforward.
Trust me.
If you do that (what you are currently doing) you will end up miserably sick to your spirit.
Move on and move on
Roho mbaya sio ubahili. Yaani mwenzako anakupambania ila wewe unachoapata unaona shida kushare nae kama sio roho mbaya ni nini hapo?!Jamanii [emoji1787][emoji1787]
Hakuna watu bahili kama wanawake
Tumeumbwa kupokea tu
Sio wanawake wanaojitegemea, wanawake wanaojua muda wa kutegemea msaada kwa mwanaume na muda wa wao kumsaidia mwanaume majukumu anapozidiwa....Jaman wanaume si ndio mnapenda wanawake wanaojitegemea au?
Mahusiano ni kama maji, usipoyafanya kwa hiyari utayafanya kwa lazima...... Ha ha ha haMahusiano uliyapiga stop Sasa unaishije? Binadam wa kawaida kwichi kwichi Ni muhimu na Ni lazima..! Twambie waishije bila mchenjuo? Au we lesbian ?
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
So hautoi kwa moyo unatoa kwa kujiskia.... Hiyo sio sawamim natoa ila inategemea na ninavyokupenda
Shukuru mungu una utambuzi wa mapema
Hizi ni nadharia mnazitengeneza na ni upotoshaji. Maisha hayapo strict hivyo.Kikubwa mwanaume uwe na ela hiyo ya mkeo sio yako ni yake akiamua kukusaidia sawa ila sio sheria!ukilazimisha sana yatakukuta mambo!utatetwa left and right,up and down
Me huwa nashangaa tuwatu tunatoongea mambo kinyume na uhalisia. Vijana wengi wanaoa miaka hii unakuta mwanamke ndie anatoa sapoti na sio shida sababu unakuta kwa wakati huo mwanamke ndie anakuwa yupo vizuri mwanaume anachechemea...... So akikaa stable anachukua majukumu yake in full kama kawaida.Nilichogundua ni kuwa wanawake ambao wanadai kuwa hawawez kutoa hela kwa ME ni wale ambao wametoka poor family,me nimewahi kuwa na pisi mbili za kishua nimekula hela zao mpaka nikanunua viwanja viwili kipindi hicho Niko chuo,Juzi Kati pia nikapata pisi moja shombe shombe ya kiarabu,japo nilimfukuzia mwenyewe Ila hela zake nimekula japo alikua na mchumba wake tyr ambae alikua masomoni,hivo tumeachana mwaka Jana,Ila nikiwa na shida nampandia hewani.
Wanawake wote iwe katokea poor family or Rich family akiwa na pesa zake na akawa anakuelewa pesa anakupa tu Ila huwa hawapendi kujulikana kuwa wanatoa pesa kwa wanaume.
Tena niwambie kitu kimoja, Mwanamke akiamua kuhongo sisi wanaume tukasome[emoji2][emoji2]
Hii ndio maturityNikihesabu zaidi mimi nampa kuliko yeye anavyo nipa,sijisikii vibaya naona kawaida kwasababu naelewa changamoto anazo pitia kwa sasa
Kwa mara ya kwanza sijisikii kuumia kumpa mwanaume hela
Kwasababu tunacover gap,ananipa nampa
Pesa sio issue kwenye mahusiano yetu