Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Ahahahah unajua kuna ile mwanaume anakutegemea mwanamke hiyo sasa hata mim sikubali
Unajua siku hizi kuna wanaume ombaomba kama wanawake pia
Hio uomba omba haipendezi na wala haikubaliki. Ila kuna ile una hustle unaona kabisa leo bila bila.

Tajiri hajatoa hela kwa wakati uko pending unahitaji material kukamilisha kazi nyingine. Unavuta waya! Mama hembu naomba nsaidie laki 7 nikamilishe kazi nina kipengele kidogo ntakurudishia nikishakabidhi kazi. Dakika 10 tri..trii sms ya MPesa imeingia.

Sasa kwa demu mwenye roho ya kimaskini atakuwa anaona kama miujiza maana akiombwa hata elfu 50 anahisi akaunti yake inawaka moto. Ila hapo kama mke unakuta na kazi ulimfaitia wewe akapata.
 
Na mwijaku. Kwenye page za hawa jamaa mwanamke ni malaika ambaye hakosei, hasaliti, anaumizwa hisia haumizi, ananyanyaswa.......

Kitu wasichojua ni kuwa katika biashara yoyote jambo muhimu ni kumtengenezea mteja wako story itakayomvutia....
Mwijaku si choko tu nae 😂😂😂 anamtukuza sana mwanamke. Hapo wanawake wanajifeel thyself kinoma 😅😅😅!!!
To a black man like me...a woman is a damn woman!!!
 
Hii ndio itikadi ya kishamba ambayo niko against nayo. Hapo kuna mijanamke itakimbilia kusema sindio mwanaume apambane tu na hali yake. Kwangu mie mapenzi ni lazima mwanamke aweze kujitoa bila hivyo siwezi hesabu nina mpenzi. Na ndio msingi wa hii mada mkuu.

Ila sasa kuna ukinzani wa fikra unaotokana na wanaume waliogeuzwa misukule na ndo wanatumika kama SI Unit ya kuja ku crush hii mada. Oh mwanaume ndo lazma atoe kwa mpenzi wake...in some instances anakosa ability ya kutoa wewe mkewe unasimamia wapi?
kweli kabisa tatizo ni jinsi ambavyo jamii yetu inavyo perceive jambo hili .
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] haelewi eeh, wanawake wabinafsi hawanaga empathy that one i guarantee you. Ipo siku utasimangwa hadi ufe kama pensheni ya wema uliofanya for years.[emoji23]

Hawana siku wala saa ya masimango ila yapo masimango sana nmeshakuwa nao baadhi nashukuru Mungu kwakuwa tunakuwa hatujafikia hatua kubwa naona hakuna haja ya kuendelea kuvumilia ujinga.
 
Haya mambo ujue yanaendaga mbele na kurudi nyuma. Ukiachana na mtu wish them well ndipo mema pia yatakapokujia. These things are natural and very biblically sound and straightforward.
Trust me.
If you do that (what you are currently doing) you will end up miserably sick to your spirit.
Move on and move on
Sawa....
 
Hawana siku wala saa ya masimango ila yapo masimango sana nmeshakuwa nao baadhi nashukuru Mungu kwakuwa tunakuwa hatujafikia hatua kubwa naona hakuna haja ya kuendelea kuvumilia ujinga.
Shukuru mungu una utambuzi wa mapema
 
Jamanii [emoji1787][emoji1787]
Hakuna watu bahili kama wanawake
Tumeumbwa kupokea tu
Roho mbaya sio ubahili. Yaani mwenzako anakupambania ila wewe unachoapata unaona shida kushare nae kama sio roho mbaya ni nini hapo?!
 
Mahusiano ni kama maji, usipoyafanya kwa hiyari utayafanya kwa lazima...... Ha ha ha ha
Karma amepumzika tu sio kwamba kaacha, ipo siku atajikuta tu kadumbukia katika uhusiano 😅😅😅
 
Kikubwa mwanaume uwe na ela hiyo ya mkeo sio yako ni yake akiamua kukusaidia sawa ila sio sheria!ukilazimisha sana yatakukuta mambo!utatetwa left and right,up and down
Hizi ni nadharia mnazitengeneza na ni upotoshaji. Maisha hayapo strict hivyo.

Katika maisha ya mahusiano na ndoa mwanaume na mwanamke ni marafiki wanaotunziana siri, wanao heshimiana, wanaojaliana, wanao oneana huruma, wanaopendana, hizo story za vijiwe vya kitchen party huwa haziapply hata kidogo.

Sasa hivi kweli mtu ambaye anakupatia mahitaji yako ushindwe mpatia chako....?!
 
Duniani hapa vitu vyote vinaendeshwa au vinajiendesha kulingana na kanuni za asili...

Kuna kanuni kadha wa kadha lakini nitaziainisha mbili tu kulingana na muktadha wa mada yako...

Moja, mwanamke anapaswa kuwa chini ya himaya ya mwanaume (wabeijing msicomment)...

Sasa kila kilicho chini ya himaya ya mtu yoyote, mwenye wajibu wa kukitunza kitu hicho ni mwenye himaya...

Hivyo ndio maana mwanaume amekuwa akiwajibika kumtunza mwanamke...

Mbili, mwanamke hapaswi kufanya kazi ama shughuli yenye kutumia nguvu, maarifa yake kwa nia ya kuingiza kipato binafsi...

Kutokana na kanuni namba moja, mwanamke anapaswa kuwa ni msaidizi wa mwanaume ili kuhakikisha mwanaume hachoki, fadhaika, pata wakati mgumu katika kutaabika kwake kutafutia familia yake kipato...(unaweza mithalinisha na mahusiano yaliyopo baina ya mtambo unotembea kufua nishati "car engine" na kilainisha mtambo "oil")

NB: Kanuni hizi zinawahusu mwanaume na mwanamke walio wenza katika unganiko linalotambulikana.
 
Nilichogundua ni kuwa wanawake ambao wanadai kuwa hawawez kutoa hela kwa ME ni wale ambao wametoka poor family,me nimewahi kuwa na pisi mbili za kishua nimekula hela zao mpaka nikanunua viwanja viwili kipindi hicho Niko chuo,Juzi Kati pia nikapata pisi moja shombe shombe ya kiarabu,japo nilimfukuzia mwenyewe Ila hela zake nimekula japo alikua na mchumba wake tyr ambae alikua masomoni,hivo tumeachana mwaka Jana,Ila nikiwa na shida nampandia hewani.

Wanawake wote iwe katokea poor family or Rich family akiwa na pesa zake na akawa anakuelewa pesa anakupa tu Ila huwa hawapendi kujulikana kuwa wanatoa pesa kwa wanaume.

Tena niwambie kitu kimoja, Mwanamke akiamua kuhongo sisi wanaume tukasome[emoji2][emoji2]
Me huwa nashangaa tuwatu tunatoongea mambo kinyume na uhalisia. Vijana wengi wanaoa miaka hii unakuta mwanamke ndie anatoa sapoti na sio shida sababu unakuta kwa wakati huo mwanamke ndie anakuwa yupo vizuri mwanaume anachechemea...... So akikaa stable anachukua majukumu yake in full kama kawaida.

Mtu anaeshangazwa na swala la mwanamke kuwa msaada kwa mwanaume wake technically anamaanisha kuwa mwanamke asiruhusiwe kuwa na kazi, asiwe na kipato, awe tu goal kipper akisubiri kuletewa na mume wake....
 
Nikihesabu zaidi mimi nampa kuliko yeye anavyo nipa,sijisikii vibaya naona kawaida kwasababu naelewa changamoto anazo pitia kwa sasa
Kwa mara ya kwanza sijisikii kuumia kumpa mwanaume hela
Kwasababu tunacover gap,ananipa nampa
Pesa sio issue kwenye mahusiano yetu
Hii ndio maturity
 
Back
Top Bottom