Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #401
Hio uomba omba haipendezi na wala haikubaliki. Ila kuna ile una hustle unaona kabisa leo bila bila.Ahahahah unajua kuna ile mwanaume anakutegemea mwanamke hiyo sasa hata mim sikubali
Unajua siku hizi kuna wanaume ombaomba kama wanawake pia
Tajiri hajatoa hela kwa wakati uko pending unahitaji material kukamilisha kazi nyingine. Unavuta waya! Mama hembu naomba nsaidie laki 7 nikamilishe kazi nina kipengele kidogo ntakurudishia nikishakabidhi kazi. Dakika 10 tri..trii sms ya MPesa imeingia.
Sasa kwa demu mwenye roho ya kimaskini atakuwa anaona kama miujiza maana akiombwa hata elfu 50 anahisi akaunti yake inawaka moto. Ila hapo kama mke unakuta na kazi ulimfaitia wewe akapata.