Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Sasa mbona mie sio msaliti na hutaki tuwe wachumba kipenzi. Utakufa single acha uzembe!
Ila ujue tu vyombo utaosha na kudeki nyumba
Teh teh nitaosha ndiyo! Ila na wewe bills zote utalipa mwenyewe!
 
Kwahio we unataka kuniambia mmeo akiosha vyombo utampa pesa zote anazotaka [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Unajua maana ya Bushoke?
Unaona sasa? Kama ambavyo unaona huo msemo wa marioo ni wa watu ambao wamezoea kuhonga na kuhongwa pesa vivyo hivyo huo msemo wa bushoke ni msemo wa watu ambao wanaona kama mwanaume kufanya kazi za ndani ni kujishusha hadhi!
 
Yote isipokuwa umalaya, kiburi na kauli za chooni.
Basi vivyo hivyo na sisi wanawake tuna mapungufu ambayo hatuwezi kuyavumilia kutoka kwa wanaume! Na wakiwa nayo tunaona hatuna budi na sisi kuwa wabinafsi tu!
 
Mtapata taabu sana
 
Bwana mdogo acha kudanga
 
Hayo mambo ya makabila au mahali mtu alipokulia sina uhakika nayo sana! Ninachojua haya mambo yanatokana na malezi tu!

Kwetu tumefundishwa kama mwanaume na mwanamke wote wanafanya kazi na wanasaidiana kuhudumiana na kulipa bills na ada za watoto basi siyo mbaya wote wakasaidiana kazi za nyumbani! Ila kama mwanaume anatafuta pesa peke yake mke yuko tu nyumbani basi huyo mwanaume hatakiwi kugusa kazi yoyote ya ndani ikiwezekani hadi boksa zake hatakiwi kujifulia!
 
Tu boksa twa buku 5
 
Basi vivyo hivyo na sisi wanawake tuna mapungufu ambayo hatuwezi kuyavumilia kutoka kwa wanaume! Na wakiwa nayo tunaona hatuna budi na sisi kuwa wabinafsi tu!
Kama yapi, tell me ambayo unaona wewe huyawezi.
 
Kuna wanawake wamewazidi wanaume zao vipato kwa kiasi kikubwa sana
 
Kwamba hao wanaume unao wa describe hapo wote hawawezi kukutia mimba ukawa mjamzito au tofuati yao inakuwa ni nini?

Nyie ndio ambao mnahisi mtu mwenye dharau anaehonga ndio anastahili heshima ila mwenye busara ni wa kupuuzwa tu. At the same time unajidai unaweza date na mwanaume asie na pesa ilimradi asiwe malaya tu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ My friend kuwa makini!!!

Halafu kama kwenu ndio mafunzo mliopewa kuwa muwe na adabu kwa wanaume wenye uwezo kuwazidi basi hakika babaako atakuwa mtu mwenye hasara sana hapa duniani.

Na pia napata concept mama yako ni mwanamke wa aina gani..Nilihisi ni mtu wa maana hapo awali ila kumbe kumpigisha deki babaako na kumfulisha nguo zake na kumsuuzisha vyombo ni sababu mamaako alimdharau kwa kuwa anasaidia kulipa bili.
 
Kwanini muone ya kuwa mwanamke tu ndiyo akifanyiwa mambo mazuri ndiyo huwa mahusiano yanaharibika? Kwani hakuna wanaume wanaofanyiwa mambo mazuri na mahusiano yakaharibika?
Mwanamke remote yake ni mume! Mume akishindwa kuitumia remote mke akaishika hata kwa bahati mbaya lazima ajali itatokea. Reason behind! Poor reasoning ability..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…