Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mwanamke yuko emotional sio logical
And what makes you think that being logical is always better than being emotional? Hivi hata muumba angeamua kutumia logic kwenye kila kitu unafikiri binadamu tungekuwa hapa!

Au haujui kuwa vitu vingine inabidi atumie emotions ili maisha yaende so is the creator wrong? Tena FYI muumba anatumia sana emotions kuliko hiyo logic mnayoiabudu!
 
Teh teh i have nothing to lose my friend! Tena kwangu mimi kutokuwa kwenye mahusiano au ndoa naona kama ndiyo nimejipunguzia mzigo mkubwa ambao nisingeweza kuubeba for the rest of my life!

Nimezungukwa na watu wengi sana wenye mahusiano mazuri na mabaya na najifunza kupitia mahusiano ya aina zote! Lakini kutoka moyoni mwangu kabisa niliyoyashuhudia kwenye mahusiano mabaya yamenifanya niamue kuwa sitaki kujiingiza kwenye mapenzi hadi nakufa fullstop!
Karma,
Nimekuwa nikikusoma muda mrefu. Wakati mwingine nilikuwa nahisi unafanya utani, na wakati mwingine nilihisi unaufeminist flani hivi... Ila hii statement yako imeni alarm...sijui umri wako ila wacha nikuite mdogo wangu. Maisha ya watu yasikudefine wewe.
You can love and be loved...the issue is right person...
 
Nashukuru kaka nimekuelewa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Nikimpata the right person then I am good to go
 
Kimsingi kila MTU amini kwenye fikra zake kwa sababu kuna mmbo mengi ambyo kimsingi yatafanya tusi reach the same conclusion kuna issue za dini, familia,elimu ya darasan sambamba na ya mtaani ,makabila tuliyotoka, tehama pia hata za Sera za inchi husika
Kimsingi Karma unacho kiamini wewe kinaweza kuwa sahihi tokana na fikra zako same na mwanzilisha mada kwaio cha msingi let's nature control the process
 
Nimetoka kumpiga baby mama kizinga cha 500k kama utani Mzigo huu hapa,kuna ngedere 1 ilikua pembeni yangu nili iambia kama inanipenda kweli ininunulie Mdudu 1KG akaniambia yuko tayari anipe K ila sio atoe hela yake anipe mimi (mwanaume).

nikamwambia kaa tulia hapo hapo nikuonyeshe kitu kimoja,nikavuta simu nikampiga kizinga maza mjengo Maswali hayakua mengi nikaona "imethibitishwa",nikamuonyesha huyu ngedere ya pembeni angu,akaanza leta zake oooh,hiyo ilikua hela yako,ooh huyo sio mkeo n mfanyakazi wako,maneno kibao.

mwisho nikamwambia "nikwambie kitu" wewe ni maskini Jitahidi ufanye kazi kwa bidii sana sana Muombe Mungu akupe pumzi maana bado una deni kubwa sana hapa duniani,kama kawaida ake akaanza tena mbwembwe oooooh hata niwe bilionea bado msimamo wangu ni ule ule,nikamwambia hebu nenda huko jikoni kawambie watutengenezee mdudu watuletee hapa.
Duuuuuuh. Bulaza kwa hiyo umehongwa hela zako mwenyewe sio? [emoji12][emoji28][emoji2][emoji3][emoji23]
 
Kimsingi kila MTU amini kwenye fikra zake kwa sababu kuna mmbo mengi ambyo kimsingi yatafanya tusi reach the same conclusion kuna issue za dini, familia,elimu ya darasan sambamba na ya mtaani ,makabila tuliyotoka, tehama pia hata za Sera za inchi husika
Kimsingi Karma unacho kiamini wewe kinaweza kuwa sahihi tokana na fikra zako same na mwanzilisha mada kwaio cha msingi let's nature control the process
Kukubaliana kwa kutokubaliana nayo ni makubaliano
 
And what makes you think that being logical is always better than being emotional? Hivi hata muumba angeamua kutumia logic kwenye kila kitu unafikiri binadamu tungekuwa hapa!

Au haujui kuwa vitu vingine inabidi atumie emotions ili maisha yaende so is the creator wrong? Tena FYI muumba anatumia sana emotions kuliko hiyo logic mnayoiabudu!
Doooooh
 
Kwa kukusaidia tu hebu jaribu kuuliza mahali popote ni wapi na lini mwanaume wa kinyakyusa aliwahi kupandwa kichwani na mwanamke? Tatizo ni kwamba tunatofautiana tu kwenye tafsiri ya neno kukaliwa ambapo wewe na baadhi ya vilaza wenzio mnatafsiri mwanaume kufanya kazi za ndani hata kwa hiari yake mwenyewe ni kukaliwa! [emoji4][emoji4]

Kama hiyo ndiyo tafsiri halisi ya kukaliwa basi niamimi mimi wanaume wengi hapa duniani "wanakaliwa"! Vinginevyo unataka tuanze darasa la kuelezana tafsiri za maneno! [emoji3][emoji3]
Dooooh
 
Tuko very proud kwa kweli kuwa "vichwa banju" na hata akijaribu kutuasa huwa tunamuambia mama siyo kila mwanaume yuko kama baba hawa wanaume wa siku hizi ni kazi bure kabisa! Basi na alivyo mpole anaishia tu kusema Mungu atusaidie huu ushindikana ututoke ila hapana kwa kweli katika vitu ambavyo mimi namuomba Mungu ni aniachie huu ushindikana wangu nisije nikaja kugawana majengo ya serikali na mtoto wa mtu!

Sisi wenyewe tunayoyaona mitandaoni na mitaani ni mazito mno kiasi kwamba hatuwezi kuchukulia ndoa ya wazazi wetu tu kama mfano tosha wa kusema eti ndoa ni burudani! Na ukizingatia wazazi wetu siyo wa zama hizi na sisi lazima tuangalie mahusiano ya vijana wa zama hizi sababu ndiyo zama zetu na tukumbuke kuwa kila zama na kitabu chake!
Utakuja kutulizwa kwenye ukwapa na mtu hautoamini..... Ngoja muda ufike utoto ukuishe
 
Utakuja kutulizwa kwenye ukwapa na mtu hautoamini..... Ngoja muda ufike utoto ukuishe
Nikimpata mwenye sifa ninazozitaka mbona sina shida kabisa! Msikariri siyo kila mtu huwa anapenda kichwa kichwa kuna watu wengine huwa tunaingia kwenye mapenzi kwa step!
 
Unafeli bulaza. Mwanamke hata Kama analipwa bilioni moja, ukimpa big G ya Sh 50 tu atakupenda zaidi. Zawadi kwao haiwi attached na thamani bali moyo nyuma ya zawadi.
Twende taratibu kaka utajifunza vizuri
Siwezi aisee.....mwanamke asiyejiongeza hana thamani kwangu.
 
Nikimpata mwenye sifa ninazozitaka mbona sina shida kabisa! Msikariri siyo kila mtu huwa anapenda kichwa kichwa kuna watu wengine huwa tunaingia kwenye mapenzi kwa step!
Umeshasema hauna mpango wa kuingia kwenye mahusiano..... Tena sasa unasema ukimpata.... Hivi wewe upo sawa kweli kweli?!
 
Hela ya mwanamke ni ya kuogopwa sana, unaweza mpa mwanamke wako 100k then baadae kdgo mkapata changamoto mfano luku ikaisha ukamuomba akupe elfu 5 kwenye hela uliyompa ili utatue hiyo changamoto(mfukoni huna kitu una nauli ya kuendea kwenye mishe zako tu). Atakupa lakini ndani itamuuma sana nasema ivi kwa experience mkuu hela ya Ke ni chungu mno ndio maana hata wengi zawadi zao kwa wanaume wao ni vitu vidogo dogo tu [emoji23][emoji23] tusoksi twa buku.
Sababu kuu ni kwamba, mwanamume ameumbwa kutoa na siyo kupokea; meanwhile mwanamke ameumbwa kupokea na si kutoa. Hili likifanyika kinyume lazima matatizo yatokee.
 
Umeshasema hauna mpango wa kuingia kwenye mahusiano..... Tena sasa unasema ukimpata.... Hivi wewe upo sawa kweli kweli?!
Aisee yaani sitaki kuamini unanipangia cha kusema kuhusu maisha yangu eti! Yaani wewe wa ajabu sijapata kuona!

Mimi naweza kukuambia chochote ninachojisikia kuhusu mimi kwa wakati wowote! Kuhusu kuamini au kutokuamini utachagua wewe ni kipi ukichukue na kipi ukiache mimi hilo linakuwa halinihusu!
 
Back
Top Bottom