Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Sasa mbona mie sio msaliti na hutaki tuwe wachumba kipenzi. Utakufa single acha uzembe!
Ila ujue tu vyombo utaosha na kudeki nyumba
Teh teh nitaosha ndiyo! Ila na wewe bills zote utalipa mwenyewe!
 
Kwahio we unataka kuniambia mmeo akiosha vyombo utampa pesa zote anazotaka [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Unajua maana ya Bushoke?
Unaona sasa? Kama ambavyo unaona huo msemo wa marioo ni wa watu ambao wamezoea kuhonga na kuhongwa pesa vivyo hivyo huo msemo wa bushoke ni msemo wa watu ambao wanaona kama mwanaume kufanya kazi za ndani ni kujishusha hadhi!
 
Yote isipokuwa umalaya, kiburi na kauli za chooni.
Basi vivyo hivyo na sisi wanawake tuna mapungufu ambayo hatuwezi kuyavumilia kutoka kwa wanaume! Na wakiwa nayo tunaona hatuna budi na sisi kuwa wabinafsi tu!
 
Sijui unazungumzia mapenzi yapi? Ya ndoa au haya ya kabla lakini ninachojua ni jukumu la Me kuprovide kwa Ke. Tofauti na hapo lazima Me atanyanyasika tuu hata akiwa na Ke anaye mpenda kwa dhati bado utanyanyasika. Wanaume tafuteni pesa hilo la msingi.
Mtapata taabu sana
 
Mi bhanaaa kuna moja kanipenda Sanaa.
Ila sasa huyu dada alikuwa na pesa Sana na ukweli alikuwa anamwili mzuri ispokuwa alikuwa kujichubua.

Ndinga nzuri tuu haria yake maskini tako la nyani basi mwanaume Nika Naswa na dada huyu.Japo ki ukweli Moyoni hata hakuwepo wala niniii.Ila maisha mazuri pesa yake Gari yake Mzee Baba nikawa Mario ki ukwelii.Dada akawa anafunguka Sana Shida zake Ila Mimi na mchora tuu.

Ila sasa Mimi kila nikimuoneshea sign kama simuelewi anatumia pesa nyingi kama kunifanya nimpende basi mwanaume ikanibidi niwe mpole niendelee Kula mzigo na Haria metallic colour kuzunguka nayo town huku bi mama anaanda chapati na Supu ya kuku wa kienyeji bhana.

Ila nashukuru Mungu kutoka kwenye huu mtego maana bi dada alikuwa anakaba mpaka kero alafu ukimcheki viwango hanaa.Halipi lakini hiyo ela ndo ilikuwa inanizuzuaa bhanaa dah.

Yaan akitoka Job hataki nikae mbali nae nlipata taabu [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila dah afadhali maisha ya Umario ya Kisengerema sanaaa.
Bwana mdogo acha kudanga
 
Kwa taarifa yako mimi siyo mvivu na hakuna kitu napenda kama kujifanyia vitu vyangu mwenyewe huwa ni mzito sana kumuomba mtu anisaidie vitu kama kupika au kufua! Ila shida ni kuyafanya hayo kwa mwanaume unayemsaidia kiuchumi ila yeye hakusaidii hata siku moja na majibu unayoambulia ndiyo kama ya extrovert!
Hayo mambo ya makabila au mahali mtu alipokulia sina uhakika nayo sana! Ninachojua haya mambo yanatokana na malezi tu!

Kwetu tumefundishwa kama mwanaume na mwanamke wote wanafanya kazi na wanasaidiana kuhudumiana na kulipa bills na ada za watoto basi siyo mbaya wote wakasaidiana kazi za nyumbani! Ila kama mwanaume anatafuta pesa peke yake mke yuko tu nyumbani basi huyo mwanaume hatakiwi kugusa kazi yoyote ya ndani ikiwezekani hadi boksa zake hatakiwi kujifulia!
 
Hela ya mwanamke ni ya kuogopwa sana, unaweza mpa mwanamke wako 100k then baadae kdgo mkapata changamoto mfano luku ikaisha ukamuomba akupe elfu 5 kwenye hela uliyompa ili utatue hiyo changamoto(mfukoni huna kitu una nauli ya kuendea kwenye mishe zako tu). Atakupa lakini ndani itamuuma sana nasema ivi kwa experience mkuu hela ya Ke ni chungu mno ndio maana hata wengi zawadi zao kwa wanaume wao ni vitu vidogo dogo tu [emoji23][emoji23] tusoksi twa buku.
Tu boksa twa buku 5
 
Basi acheni kulalamika sasa! Hizi personal attacks hatujazianza sisi ninyi wanaume ndiyo mabingwa maana nimeshuhudia wanawake kama sisi tunaokuwa kinyume na itikadi zenu huwa mnatuita malaya visirani tumeachika na ni masingle mother ilihali hatufahamiani na hata pm hatujawahi kuenda!

Kumbe mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu eenh? Just look at how selfish your gender is!
Basi vivyo hivyo na sisi wanawake tuna mapungufu ambayo hatuwezi kuyavumilia kutoka kwa wanaume! Na wakiwa nayo tunaona hatuna budi na sisi kuwa wabinafsi tu!
Kama yapi, tell me ambayo unaona wewe huyawezi.
 
Kuna wanawake wamewazidi wanaume zao vipato kwa kiasi kikubwa sana
Hiyo ya kusaidia inaeleweka na naamini wanawake wanafurahia sana kusaidia wapenzi wao. Ila isiwe ni mazoea na wajibu wa mwanamke wa kila siku. Mwanaume rijali ni yule ana provide kwa famiilia na mpenzi wake. Ila wengi wa Me sikuhizi wanapenda mteremko kitu ambacho ni kibaya.
 
Hayo mambo ya makabila au mahali mtu alipokulia sina uhakika nayo sana! Ninachojua haya mambo yanatokana na malezi tu!

Kwetu tumefundishwa kama mwanaume na mwanamke wote wanafanya kazi na wanasaidiana kuhudumiana na kulipa bills na ada za watoto basi siyo mbaya wote wakasaidiana kazi za nyumbani! Ila kama mwanaume anatafuta pesa peke yake mke yuko tu nyumbani basi huyo mwanaume hatakiwi kugusa kazi yoyote ya ndani ikiwezekani hadi boksa zake hatakiwi kujifulia!
Kwamba hao wanaume unao wa describe hapo wote hawawezi kukutia mimba ukawa mjamzito au tofuati yao inakuwa ni nini?

Nyie ndio ambao mnahisi mtu mwenye dharau anaehonga ndio anastahili heshima ila mwenye busara ni wa kupuuzwa tu. At the same time unajidai unaweza date na mwanaume asie na pesa ilimradi asiwe malaya tu? 😂😂😂 My friend kuwa makini!!!

Halafu kama kwenu ndio mafunzo mliopewa kuwa muwe na adabu kwa wanaume wenye uwezo kuwazidi basi hakika babaako atakuwa mtu mwenye hasara sana hapa duniani.

Na pia napata concept mama yako ni mwanamke wa aina gani..Nilihisi ni mtu wa maana hapo awali ila kumbe kumpigisha deki babaako na kumfulisha nguo zake na kumsuuzisha vyombo ni sababu mamaako alimdharau kwa kuwa anasaidia kulipa bili.
 
Kwanini muone ya kuwa mwanamke tu ndiyo akifanyiwa mambo mazuri ndiyo huwa mahusiano yanaharibika? Kwani hakuna wanaume wanaofanyiwa mambo mazuri na mahusiano yakaharibika?
Mwanamke remote yake ni mume! Mume akishindwa kuitumia remote mke akaishika hata kwa bahati mbaya lazima ajali itatokea. Reason behind! Poor reasoning ability..
 
Back
Top Bottom