Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mwanamke yuko emotional sio logical
And what makes you think that being logical is always better than being emotional? Hivi hata muumba angeamua kutumia logic kwenye kila kitu unafikiri binadamu tungekuwa hapa!

Au haujui kuwa vitu vingine inabidi atumie emotions ili maisha yaende so is the creator wrong? Tena FYI muumba anatumia sana emotions kuliko hiyo logic mnayoiabudu!
 
Karma,
Nimekuwa nikikusoma muda mrefu. Wakati mwingine nilikuwa nahisi unafanya utani, na wakati mwingine nilihisi unaufeminist flani hivi... Ila hii statement yako imeni alarm...sijui umri wako ila wacha nikuite mdogo wangu. Maisha ya watu yasikudefine wewe.
You can love and be loved...the issue is right person...
 
Nashukuru kaka nimekuelewa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Nikimpata the right person then I am good to go
 
Kimsingi kila MTU amini kwenye fikra zake kwa sababu kuna mmbo mengi ambyo kimsingi yatafanya tusi reach the same conclusion kuna issue za dini, familia,elimu ya darasan sambamba na ya mtaani ,makabila tuliyotoka, tehama pia hata za Sera za inchi husika
Kimsingi Karma unacho kiamini wewe kinaweza kuwa sahihi tokana na fikra zako same na mwanzilisha mada kwaio cha msingi let's nature control the process
 
Duuuuuuh. Bulaza kwa hiyo umehongwa hela zako mwenyewe sio? [emoji12][emoji28][emoji2][emoji3][emoji23]
 
Kukubaliana kwa kutokubaliana nayo ni makubaliano
 
Doooooh
 
Dooooh
 
Utakuja kutulizwa kwenye ukwapa na mtu hautoamini..... Ngoja muda ufike utoto ukuishe
 
Utakuja kutulizwa kwenye ukwapa na mtu hautoamini..... Ngoja muda ufike utoto ukuishe
Nikimpata mwenye sifa ninazozitaka mbona sina shida kabisa! Msikariri siyo kila mtu huwa anapenda kichwa kichwa kuna watu wengine huwa tunaingia kwenye mapenzi kwa step!
 
Unafeli bulaza. Mwanamke hata Kama analipwa bilioni moja, ukimpa big G ya Sh 50 tu atakupenda zaidi. Zawadi kwao haiwi attached na thamani bali moyo nyuma ya zawadi.
Twende taratibu kaka utajifunza vizuri
Siwezi aisee.....mwanamke asiyejiongeza hana thamani kwangu.
 
Nikimpata mwenye sifa ninazozitaka mbona sina shida kabisa! Msikariri siyo kila mtu huwa anapenda kichwa kichwa kuna watu wengine huwa tunaingia kwenye mapenzi kwa step!
Umeshasema hauna mpango wa kuingia kwenye mahusiano..... Tena sasa unasema ukimpata.... Hivi wewe upo sawa kweli kweli?!
 
Sababu kuu ni kwamba, mwanamume ameumbwa kutoa na siyo kupokea; meanwhile mwanamke ameumbwa kupokea na si kutoa. Hili likifanyika kinyume lazima matatizo yatokee.
 
Umeshasema hauna mpango wa kuingia kwenye mahusiano..... Tena sasa unasema ukimpata.... Hivi wewe upo sawa kweli kweli?!
Aisee yaani sitaki kuamini unanipangia cha kusema kuhusu maisha yangu eti! Yaani wewe wa ajabu sijapata kuona!

Mimi naweza kukuambia chochote ninachojisikia kuhusu mimi kwa wakati wowote! Kuhusu kuamini au kutokuamini utachagua wewe ni kipi ukichukue na kipi ukiache mimi hilo linakuwa halinihusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…