Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Unajua hawa watu hutofautiana kwa malezi mkuu, kuna ambao wana roho safi (roho za kitajiri) na wengine wana roho za kwanini(roho za kimaskini).

If you come across a person with a rich heart na ambaye amelelewa vyema huwezi pata nae shida. Kuna watu wako more giving and trust me you need this kind of energy kufika peponi. Ukiwa na energy ya kujitoa pia hakika mapenzi yatakuwa ni mahali salama sana kwako.

Shida inayotukumba tunajitoa kwa watu ambao hawako tayari kujitoa ila kutunyonya. You end up looking silly.
 
Acha uoga mkuu, stand like a man. Kila kitu kitakaa katika pattern. Ukiwa na sauti hata kama una 200 mwanamke ana 500 utamtuliza vizuri tu.
 
H Hebu fafanua
 
Me naomba unisaidie hapa ...mtu ni mpenzi wako wa miaka mingi tu anakupa hela lakini anakupa masharti ya ile hela ...ukivunja masharti tu ...anakudai hela yake tena kwa vitisho hii imekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mpenzi wako hana sifa ya kuitwa mpenzi. Huyo ni muwekezaji tu kama walivyo mabepari.
Mtu anayekupenda hakuwekei sanctions au conditions πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
H
Hebu fafanua
Mapenz yanahusisha kutoa na kupokea.

Miaka ya nyuma wanaume walijitoa zaidi huku wanawake wakiinjoy matunda ya kupokea tu ila utandawazi na milango ya fursa kwa wanawake imepelekea wanawake wengi sikuhizi kuwa na uwezo mkubwa kiuchumi kuliko wanaume kiasi kwamba nao wanajitoa sana kuwapiga jeki wanaume zao.

Ila cha ajabu wanaume hawa wanadhiakiwa kwa kuitwa majina ya ajabu kama vile wanawake kusaidia waume zao ni kosa! Toa maoni yako kuhusu hilo?
 

Na ninaogopa sana mtu wa hivyo, kuna siku alisema nataka nije kuwa na kwangu nijenge nyumba yangu peke yangu nikamuangalia tu akaendelea kusema nije kuwa na watoto wangu nikamuuliza hao watoto atawanya kama anakuwa na ubinafsi kiasi hicho? Apo kidogo akatulia kimya ila malezi ya mzazi mmoja yanachangia sana hawa dada zetu kuwa na ubinafsi hasa kama kalelewa na mama ambae ameachika.
 
Mwanaume kumuogopa Mwanamke mwenye kipato ukidhani kua atakudharau huo Ni udhaifu hujiamin kabisa.
Mapenzi ya kibongo fanya uwezavyo acha Mwanamke akupende Sana Mwanaume.. sio Mwanaume umpende Mwanamke Sana utaishia kilio ..!

Jiulize kwa nn Mwanaume anaejikutaga anajua ku care Sana yani mwanamke asitake nn lazima apewe hao wanaume wanaishiaga vilio na usaliti mkubwa plus kujinyoga juu?

Ukiwa na Mwanamke yeye anachoweza ku offer kwako Ni kupanua mapaja tuu ohhh wafwaa....!
Mapenzi Ni two ways traffic yani mpeane ..!
Siwezi ku date mwanamke omba omba..! Siwezi date mwanamke aliyejiwekea fikira kwamba Mwanaume Ni provider wa kila kitu dunia hii..!
Siwezi ku date mwanamke fukara na maskin kwa sababu Hawa watapoteza nyota yako na badala ya upige hatua kwenda mbele utakua unapiga reverse tu ..matatizo ya familia yake atakuletea wewe bado na yeye ana shida zake ...binti mko kwenye mahusiano wiki mbili utaskia mama kalazwa mara mdogo wangu kafukuzwa shule ...! Ajabu li mwanamke Kama hili unalisaidia badae linakusaliti..!
Siwezi kumuogopa Mwanamke kisa kanizid kipato as long as najua Mimi Ni Mwanaume na sio Marioo ataishi chin Yangu nikiongea lazima ajue kua Mwanaume ameongea.Na lazima tupeane mapenzi Safi kabisa bila upande wowote kuumia

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Daaaah. Hongera na pole. Status sasa ikoje mzee Baba?
 
Hahahah kudadadeki hapo ilikuwa noma mzee mwenzangu. Huyo bila shaka malezi hayakuwa na baba kabisa. Wanawake waliolelewa na baba zao kwa upendo huwa wanakuja kupenda sana waume zao pia esp. wanaoonesha kujali.
 
Daaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti tusoksi twa buku.....usisahau na tuboksa twa buku tatu jero [emoji28][emoji23]
 
Hahahah kudadadeki hapo ilikuwa noma mzee mwenzangu. Huyo bila shaka malezi hayakuwa na baba kabisa. Wanawake waliolelewa na baba zao kwa upendo huwa wanakuja kupenda sana waume zao pia esp. wanaoonesha kujali.

Kalelewa na mama kwa mda mrefu nahisi nayeye kalishwa sumu ya maneno kuhusu wanaume bila kujua ukweli kuhusu wazazi wake kutengana, hajali kuhusu upendo kwa mwanaume na nililijua hilo kwa sababu mengi anayosema reference ilikuwa baba yake.
 
Mkuu katika mabaharia wewe nakuweka kwenye kundi la "enlightened" yani maana yake umefikia level ya juu kabisa ya kujitambua.

Watu sijui kwanini hawaelewi kwamba ili uinjoy mapenzi lazma uwe na mtu anayejitoa pia. Mtu anayejitoa kwako automatically lazima atakuwa na mapenzi ya dhati na wewe. Ukiwa wewe unajitoa pekeako ndio shida nyingi huanzia hapo. Wanaume tumeumbwa na kipawa cha kujitoa sana hilo halina upinzani ila effort zote ni bure kama utakuwa na mwanamke mbinafsi na asie na shukurani.

Tumeumbwa kuwatawala wanawake hilo lipo kiasili hivyo kuogopa uwezo wa mwanamke kiuchumi ni ubabaifu tu as long as kwenye chujio la ubinafsi amepenya you have yourself a patner.
 
Mkuu hapa msumari umeingia vizuri kabisa. Nimekusoma sawasawa
 
Kalelewa na mama kwa mda mrefu nahisi nayeye kalishwa sumu ya maneno kuhusu wanaume bila kujua ukweli kuhusu wazazi wake kutengana, hajali kuhusu upendo kwa mwanaume na nililijua hilo kwa sababu mengi anayosema reference ilikuwa baba yake.
Chuki mbaya sana hio dah, mungu amsaidie kwa kweli
 
Daaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti tusoksi twa buku.....usisahau na tuboksa twa buku tatu jero [emoji28][emoji23]

[emoji23][emoji23] hatari mkuu ndio hapo nkaanza kuamini kuwa wanawake wengi hawana cha kuoffer kwa mwanaume zaidi ya Kei(sex) lakini bado hata hicho kuna baadhi bado wanaminya sana na huku bado wakihitaji wahudumiwe/wagharamiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…