Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #21
Unajua hawa watu hutofautiana kwa malezi mkuu, kuna ambao wana roho safi (roho za kitajiri) na wengine wana roho za kwanini(roho za kimaskini).Komamanga siwezi kuja kumuokota wa hivyo! Kwanza hata nikimpata namuogopa..😂
Kinizidi hela si ntanyanyasika mimi na nilivyo mbavu mbili niwe tena mbavu mbili nyengine hiyo si itakuwa ni skeleton sasa!
Ila kusema kweli nje ya masihara mweka mada dunia unayoizungumzia binafsi sijawahi iishi! Na hata nikifikiri inaniwia ugumu maana hao viumbe nawapenda Ila siwaamini sana! Kukugeuka na kukuzarau tarajia kwa hali hiyo!.
If you come across a person with a rich heart na ambaye amelelewa vyema huwezi pata nae shida. Kuna watu wako more giving and trust me you need this kind of energy kufika peponi. Ukiwa na energy ya kujitoa pia hakika mapenzi yatakuwa ni mahali salama sana kwako.
Shida inayotukumba tunajitoa kwa watu ambao hawako tayari kujitoa ila kutunyonya. You end up looking silly.