Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Tulio like wote
Me:Tunapewa pesa na wanawake zetu.
Me:Wanawapa pesa waume zao.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sababu kuu ni kwamba, mwanamume ameumbwa kutoa na siyo kupokea; meanwhile mwanamke ameumbwa kupokea na si kutoa. Hili likifanyika kinyume lazima matatizo yatokee.
Logically, ukifanya kitu kimoja kwa muda huwa kinaleta boredom. Hapa ndio wakutafta haki wanaibukaga na watafta usawa wanaibukaga.
 
Yani 24/7 wewe ni shida za hela tu halafu hamna siku umejiongeza hata kutoa bakshishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unahitaji maombi...Basi usinipe ila siku nikitaitika nipe shavu...Apo napo unaleta mkono wa birika??Hapo unakula nyeku tu.
hamna hata kwa hustler inawezekana sana tu
 
Yani 24/7 wewe ni shida za hela tu halafu hamna siku umejiongeza hata kutoa bakshishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unahitaji maombi...Basi usinipe ila siku nikitaitika nipe shavu...Apo napo unaleta mkono wa birika??Hapo unakula nyeku tu.
sasa hizi ni mada mbili tofauti, mimi nasema ya kupewa sio ya kuomba, kuomba pesa hilo ni kosa,itafikia hatua inachosha na kukera
 
sasa hizi ni mada mbili tofauti, mimi nasema ya kupewa sio ya kuomba, kuomba pesa hilo ni kosa,itafikia hatua inachosha na kukera
You must be a ride or die kind of GF
 
Heheheh tuboksa twa buku3 na tuvesti bila kusahau tusoxi twa buku! Hapo wewe umetoka kupewa iPhone ya Mil.3.5 hapo ukapokea bila chembe ya aibu.
Asa tuwe tunawanunulia nini zaidi ya engraved wallets na key holders zenye maandishi πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekusoma nakukuelewa sana mleta mada!! Hii issue ya dada zetu kuwa ivyo walivyo nafikiri ni ubinafsi na kutokupenda ukiona mwanamke hawezi kutumia pesa yake akiwa na wewe au kukupa lakini wewe unaweza kumpa na akafurahi na yeye kazi anafanya!!! Basi jua kuna sehemu anatoa kiulaini sana brother... Maana kama hawezi kutumia na wewe mpenzi wake jiulize anatumia na nani na anafanyia nini izo pesa?
 
naongeza sauti kidogo, ela ya mwanamke ni ya kwake ila ya mwanaume ni ya wote
Hayo ni maneno tu ya kufanya wanaume wajitambue na kuwa responsible kuacha kutegemea pesa ya mwanamke...... But in reality mnapokuwa pamoja chochote kinachopatikana mnashare
 
Sio predators ni leech(luba)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…