Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Hayo ni maneno tu ya kufanya wanaume wajitambue na kuwa responsible kuacha kutegemea pesa ya mwanamke...... But in reality mnapokuwa pamoja chochote kinachopatikana mnashare
yes ni kweli
 
Sasa mbona unahangaika na kujibu si uishi sasa hayo maneno unayotuambia.....

Unakuwa na biti kali kama wale dogi koko wanaolilia kwenye geti ukiinama tu kuokota jiwe wanatoka baruti.
Sasa unajuaje kama siishi ninayoyajibu humu? Mbona unaumia sana juu maisha yangu jamani maana siyo mara moja wala mara mbili nikiongelea kuhusu mimi kufurahia kuwa single unajifanya kuchukia na kunikejeli mara oohh sijui umri sijui nini mwee!
 
Aaaah unakera. Wewe ukisema upo single maana yake si unalala na wanaume tofauti,sasa unataka nani afurahie hayo maamuzi yako....
 
Aaaah unakera. Wewe ukisema upo single maana yake si unalala na wanaume tofauti,sasa unataka nani afurahie hayo maamuzi yako....
Hivi ni mimi ndiyo sijui maana ya mtu kuwa single au [emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368]
 
Asa tuwe tunawanunulia nini zaidi ya engraved wallets na key holders zenye maandishi πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You guys are ridiculous. Yani kale ka keyholder ka mbao si buku 2 tu kale kisha kameandikwa jina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wallet ya buku 3! Nyie muna nini lakini kwani zawadi za laki hamna warembo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani mkitumia ef10 on us nahisi mnapataga ganzi.
 
Exactly japo kuna mengine ni machungu tu sababu ya roho ya kimaskini na choyo. If a man can spend a half a million on you kuna ugumu gani nawe siku ukiwa vizuri ukaspend on him. Sio lazma kwa hela nyingi hivyo ila kadri ya uwezo wako tu which is likely more than hizo buku 5 zao za boxa za Banana republic na Vest za Spider πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana mie na discourage mfumo huo wa kinyonyaji. I might sound crazy ila nina maana kubwa tu ambayo mtu mwenye akili ndogo hawezi ng'amua.
 
Umeshasema hauna mpango wa kuingia kwenye mahusiano..... Tena sasa unasema ukimpata.... Hivi wewe upo sawa kweli kweli?!
"Nikimpata mwenye sifa ninazozitaka mbona sioni shida kabisa"

Translation: Nikimpata bwege ambaye naweza kumpelekesha mbona sioni shida kabisa.

Hao ndio wanawakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
"Nikimpata mwenye sifa ninazozitaka mbona sioni shida kabisa"

Translation: Nikimpata bwege ambaye naweza kumpelekesha mbona sioni shida kabisa.

Hao ndio wanawake[emoji23][emoji23][emoji23]
I am only responsible for what i say honey! What you perceive is totally none of my business!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] yes upo sahihi brother! Niamini wanawake wenye wanaume wanaowapenda issue za pesa kwao sio tatizo kabisa na hata akiamua kukunulia boxa utapata zile cotton zenye quality na atakuletea dozen nzima sio 2 au 1
 
Boxer zenyewe zile dozen 80k sio tuboxa twa 15k zinakaa tatuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio ganzi tu na degedege juuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..
Ila honestly speaking if you love and trust a man huezi kuumia spending on him, tena unatoa kwa moyo (sizungumzii kutoa ili kupalilia ndoa maana men nowadays wakijua wanapendwa na hapo washatanguliza neno ndoa wanajua hata waombe mahela mangapi she atatoa tu).
 
Hahahahah kwahio neno Ndoa ni ulimbo kumbe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…