Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Ndiyo maana sipendi kutoka na mwanamke kilaza. Mtu anafanya kazi au ana hela zake kwa biashara azifanyazo lakini anataka mimi ndiyo nitumie hela zangu kumtunza yeye.....demu wa namna hii simlazii damu, namtema mara moja.
Wanaboa halafu wanafiki kichizi when it comes to honesty!
Inshort kuwa na mwanamke ambaye ni liability ni ushubwada. Unaachana na demu unawaza hamna alichoongeza kwenye maisha yako zaidi ya umasikini tu na stress πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu na kazi zake kama kupika na kufanya usafi nawe utakuwa unazifanya kiroho safi tu? Au ndiyo yale yale?
 
Hahahaha hio kiboko mzee, yani demu ananiomba hela akaninulie zawadi? [emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hio ni zawadi au masihara.
Tulia tu mapenzi yakolee jombaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Doooooh. Bila huruma mzee ukachinja kuku baharini? [emoji12][emoji28]
 
Jiulize kwanini hao hao wanawake mnaosema hawawapi hela wanaume zao unakuta wanawapa baadhi ya ndugu na marafiki au watu wasiojiweza tena kwa moyo mkunjufu kabisa! Instead of calling those women selfish ask yourself why!
Ndio ubinafsi wenyewe, sasa kama mpenzi wako ana uhitaji na una uwezo wa kumpiga jeki ila hufanyi hivyo ila unaacha ateseke utajiita una upendo kweli wewe?
Ila yeye akiwa freshi wewe anakutatulia yakwako tu bila hiyana. Na ndugu zako anawasaidia pia.
 
Oohh kwahiyo kumtawala mwanamke tu ndicho mnachoona ni asili ila kula kwa jasho lenu imeshakuwa siyo asili tena? Shame on you people!
 
Inasikitisha sana...

Yanatakiwa yawe two way traffic lakini ndiyo hivyo, mwanaume ni kichwa provider, mwanamke ni receiver...

Cc: mahondaw
 
Wanaboa halafu wanafiki kichizi when it comes to honesty!
Inshort kuwa na mwanamke ambaye ni liability ni ushubwada. Unaachana na demu unawaza hamna alichoongeza kwenye maisha yako zaidi ya umasikini tu na stress πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Exactly, mademu liability huwa wana stress sana kwani hata kabla ya kutoka naye unawaza unafaidika na nini kuwa naye zaidi ya kukutia hasara? Ukishawaza haya, hata nyege inakutoka mwilini, cha kushangaza - wanakuwa hawana akili ya kuwaza kwanini wanaachwa kila kukicha. Wanawake wa namna hii wanaboa sana na ndiyo waliojazana sana mjini siku hizi. Utasikia tunakwenda wapi weekend hii wakati hatoi hela na anazo ila anataka kutumia za kwako tu.
 
Oohh kwahiyo kumtawala mwanamke tu ndicho mnachoona ni asili ila kula kwa jasho lenu imeshakuwa siyo asili tena? Shame on you people!
Usitutoe kwenye reli, rudi kwenye mada! Why mwanamke ku act responsibly kwa mume wake hasa kumpiga jeki kiuchumi inakuwa kosa?
 
Nikiri tena tu kuwa sijawahi kukutana na sehemu yenye wanawake wa hovyo kama Dar! Japo wapo wanaojielewa ila majority ni liability!

On top of outing na mazaga yote still atataka ukimchila umpe na hela ya kujikim na nauli.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mie mapenzi ya hivyo siwezi, nataka mwanamke ambaye yuko fully independent. Mapenzi ya kuanza kuumiza kichwa na hela za saluni sifanyagi, mizinga ya hovyo hovyo waiii! Demu awe fully fledged lets meet at the top. Lengo ni mapenzi tu sio kusumbuana.
Oohh kwahiyo point yako unataka mwanamke akuhudumie ila wewe usimhudumie? Au mimi ndiyo sijaelewa?
 
Nikiri tena tu kuwa sijawahi kukutana na sehemu yenye wanawake wa hovyo kama Dar! Japo wapo wanaojielewa ila majority ni liability!

On top of outing na mazaga yote still atataka ukimchila umpe na hela ya kujikim na nauli.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli mkuu, na anategemea kabisa umpe hela ya matumizi as if umemnunua malaya.
 
Oohh kwahiyo point yako unataka mwanamke akuhudumie ila wewe usimhudumie? Au mimi ndiyo sijaelewa?
Wanaume kuhudumia ni norm! Ila inapotokea mwanamke ana uwezo zaidi akaamua kwenda extra mile. Walimwengu huwa wanaongea sana na kulalama kana kwamb mwanamke kwenda extra mile ni dhambi! Je, kwanini tunakuwa hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…