Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Ndiyo maana sipendi kutoka na mwanamke kilaza. Mtu anafanya kazi au ana hela zake kwa biashara azifanyazo lakini anataka mimi ndiyo nitumie hela zangu kumtunza yeye.....demu wa namna hii simlazii damu, namtema mara moja.
Wanaboa halafu wanafiki kichizi when it comes to honesty!
Inshort kuwa na mwanamke ambaye ni liability ni ushubwada. Unaachana na demu unawaza hamna alichoongeza kwenye maisha yako zaidi ya umasikini tu na stress 😂😂😂😂
 
Mwanaume kumuogopa Mwanamke mwenye kipato ukidhani kua atakudharau huo Ni udhaifu hujiamin kabisa.
Mapenzi ya kibongo fanya uwezavyo acha Mwanamke akupende Sana Mwanaume.. sio Mwanaume umpende Mwanamke Sana utaishia kilio ..!

Jiulize kwa nn Mwanaume anaejikutaga anajua ku care Sana yani mwanamke asitake nn lazima apewe hao wanaume wanaishiaga vilio na usaliti mkubwa plus kujinyoga juu?

Ukiwa na Mwanamke yeye anachoweza ku offer kwako Ni kupanua mapaja tuu ohhh wafwaa....!
Mapenzi Ni two ways traffic yani mpeane ..!
Siwezi ku date mwanamke omba omba..! Siwezi date mwanamke aliyejiwekea fikira kwamba Mwanaume Ni provider wa kila kitu dunia hii..!
Siwezi ku date mwanamke fukara na maskin kwa sababu Hawa watapoteza nyota yako na badala ya upige hatua kwenda mbele utakua unapiga reverse tu ..matatizo ya familia yake atakuletea wewe bado na yeye ana shida zake ...binti mko kwenye mahusiano wiki mbili utaskia mama kalazwa mara mdogo wangu kafukuzwa shule ...! Ajabu li mwanamke Kama hili unalisaidia badae linakusaliti..!
Siwezi kumuogopa Mwanamke kisa kanizid kipato as long as najua Mimi Ni Mwanaume na sio Marioo ataishi chin Yangu nikiongea lazima ajue kua Mwanaume ameongea.Na lazima tupeane mapenzi Safi kabisa bila upande wowote kuumia

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Mkuu na kazi zake kama kupika na kufanya usafi nawe utakuwa unazifanya kiroho safi tu? Au ndiyo yale yale?
 
Same case as mine. Kuna ng'ombe nilikuwa nayo nikajua ni mtu. Kuisapoti ipate kazi ikaanza niletea hizo swaga za "nije kuwa na nyumba yangu" nikamtazama tu. Mwisho wa siku vituko vyake vikanishinda nikamwambia maisha ni safari, mimi siwezi kuendelea na wewe..... Unanisumbua kichwa....
Doooooh. Bila huruma mzee ukachinja kuku baharini? [emoji12][emoji28]
 
Jiulize kwanini hao hao wanawake mnaosema hawawapi hela wanaume zao unakuta wanawapa baadhi ya ndugu na marafiki au watu wasiojiweza tena kwa moyo mkunjufu kabisa! Instead of calling those women selfish ask yourself why!
Ndio ubinafsi wenyewe, sasa kama mpenzi wako ana uhitaji na una uwezo wa kumpiga jeki ila hufanyi hivyo ila unaacha ateseke utajiita una upendo kweli wewe?
Ila yeye akiwa freshi wewe anakutatulia yakwako tu bila hiyana. Na ndugu zako anawasaidia pia.
 
Mkuu katika mabaharia wewe nakuweka kwenye kundi la "enlightened" yani maana yake umefikia level ya juu kabisa ya kujitambua.

Watu sijui kwanini hawaelewi kwamba ili uinjoy mapenzi lazma uwe na mtu anayejitoa pia. Mtu anayejitoa kwako automatically lazima atakuwa na mapenzi ya dhati na wewe. Ukiwa wewe unajitoa pekeako ndio shida nyingi huanzia hapo. Wanaume tumeumbwa na kipawa cha kujitoa sana hilo halina upinzani ila effort zote ni bure kama utakuwa na mwanamke mbinafsi na asie na shukurani.

Tumeumbwa kuwatawala wanawake hilo lipo kiasili hivyo kuogopa uwezo wa mwanamke kiuchumi ni ubabaifu tu as long as kwenye chujio la ubinafsi amepenya you have yourself a patner.
Oohh kwahiyo kumtawala mwanamke tu ndicho mnachoona ni asili ila kula kwa jasho lenu imeshakuwa siyo asili tena? Shame on you people!
 
Inasikitisha sana...

Yanatakiwa yawe two way traffic lakini ndiyo hivyo, mwanaume ni kichwa provider, mwanamke ni receiver...



Cc: mahondaw
 
Wanaboa halafu wanafiki kichizi when it comes to honesty!
Inshort kuwa na mwanamke ambaye ni liability ni ushubwada. Unaachana na demu unawaza hamna alichoongeza kwenye maisha yako zaidi ya umasikini tu na stress 😂😂😂😂
Exactly, mademu liability huwa wana stress sana kwani hata kabla ya kutoka naye unawaza unafaidika na nini kuwa naye zaidi ya kukutia hasara? Ukishawaza haya, hata nyege inakutoka mwilini, cha kushangaza - wanakuwa hawana akili ya kuwaza kwanini wanaachwa kila kukicha. Wanawake wa namna hii wanaboa sana na ndiyo waliojazana sana mjini siku hizi. Utasikia tunakwenda wapi weekend hii wakati hatoi hela na anazo ila anataka kutumia za kwako tu.
 
Oohh kwahiyo kumtawala mwanamke tu ndicho mnachoona ni asili ila kula kwa jasho lenu imeshakuwa siyo asili tena? Shame on you people!
Usitutoe kwenye reli, rudi kwenye mada! Why mwanamke ku act responsibly kwa mume wake hasa kumpiga jeki kiuchumi inakuwa kosa?
 
Exactly, mademu liability huwa wana stress sana kwani hata kabla ya kutoka naue unawaza unafaidika na nini kuwa naye zaidi ya kukutia hasara? Ukishawaza haya, hata nyege inakutoka mwilini, cha kushangaza - wanakuwa hawana akili ya kuwaza kwanini wanaachwa kila kukicha. Wanawake wa namna hii wanaboa sana na ndiyo waliojazana sana mjini siku hizi. Utasikia tunakwenda wapi weekend hii wakati hatoi hela na anazo ila anataka kutumia za kwako tu.
Nikiri tena tu kuwa sijawahi kukutana na sehemu yenye wanawake wa hovyo kama Dar! Japo wapo wanaojielewa ila majority ni liability!

On top of outing na mazaga yote still atataka ukimchila umpe na hela ya kujikim na nauli.😂😂😂
 
Mie mapenzi ya hivyo siwezi, nataka mwanamke ambaye yuko fully independent. Mapenzi ya kuanza kuumiza kichwa na hela za saluni sifanyagi, mizinga ya hovyo hovyo waiii! Demu awe fully fledged lets meet at the top. Lengo ni mapenzi tu sio kusumbuana.
Oohh kwahiyo point yako unataka mwanamke akuhudumie ila wewe usimhudumie? Au mimi ndiyo sijaelewa?
 
Nikiri tena tu kuwa sijawahi kukutana na sehemu yenye wanawake wa hovyo kama Dar! Japo wapo wanaojielewa ila majority ni liability!

On top of outing na mazaga yote still atataka ukimchila umpe na hela ya kujikim na nauli.😂😂😂
Kweli mkuu, na anategemea kabisa umpe hela ya matumizi as if umemnunua malaya.
 
Oohh kwahiyo point yako unataka mwanamke akuhudumie ila wewe usimhudumie? Au mimi ndiyo sijaelewa?
Wanaume kuhudumia ni norm! Ila inapotokea mwanamke ana uwezo zaidi akaamua kwenda extra mile. Walimwengu huwa wanaongea sana na kulalama kana kwamb mwanamke kwenda extra mile ni dhambi! Je, kwanini tunakuwa hivyo?
 
Back
Top Bottom