Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Najua kupika vizuri tu na usafi najua kufanya ... Ila inshu ya kusema kua hzo shughuli nitakua nafanya jibu Ni kwamba nitafanya pale nitakapo jiskia kufanya tu..! lakin sio kwamba nitafanya Kama majukumu Yangu ya kila siku ndani ya nyumba ..!Mkuu na kazi zake kama kupika na kufanya usafi nawe utakuwa unazifanya kiroho safi tu? Au ndiyo yale yale?
Kaka kwa kizazi cha sasa kupata demu fully fledged utamaliza Tanzania nzima utakutana nao wachache sana. Asilimia 40 ya hao utakaofanikiwa kuwapata basi ni lesbians, 30 ni feminists na waliobakia wameshaumizwa na wapenzi wao kwa kiasi kikubwa. Hawana tena mapenzi ya dhati ndani yao. Ni kama old rusty dumped vehicle that needs restoration. Are you willing to put in work of restoration?Mie mapenzi ya hivyo siwezi, nataka mwanamke ambaye yuko fully independent. Mapenzi ya kuanza kuumiza kichwa na hela za saluni sifanyagi, mizinga ya hovyo hovyo waiii! Demu awe fully fledged lets meet at the top. Lengo ni mapenzi tu sio kusumbuana.
πππππ hahah sema kwa hapa Dar...Ila mikoani tulikuwa tunakula mbichi without spokes!Kaka kwa kizazi cha sasa kupata demu fully fledged utamaliza Tanzania nzima utakutana nao wachache sana. Asilimia 40 ya hao utakaofanikiwa kuwapata basi ni lesbians, 30 ni feminists na waliobakia wameshaumizwa na wapenzi wao kwa kiasi kikubwa. Hawana tena mapenzi ya dhati ndani yao. Ni kama old rusty dumped vehicle that needs restoration. Are you willing to put in work of restoration?
Hayo mabadiliko mnayataka kwenye majukumu ya kiuchumi tu! Ila kwenye majukumu mengine mnataka kila mtu apambane na hali yake!Hilo ndio kimbilio lenu wanyonge msiotaka kuangalia hali halisi ya kidunia ya leo ambapo haki sawa imetamalaki.
Ukisoma kwa makini utaelewa maana vitu viko wazi kabisa mkuu!
Mkuu mbona wapo badoKaka kwa kizazi cha sasa kupata demu fully fledged utamaliza Tanzania nzima utakutana nao wachache sana. Asilimia 40 ya hao utakaofanikiwa kuwapata basi ni lesbians, 30 ni feminists na waliobakia wameshaumizwa na wapenzi wao kwa kiasi kikubwa. Hawana tena mapenzi ya dhati ndani yao. Ni kama old rusty dumped vehicle that needs restoration. Are you willing to put in work of restoration?
Hapo sasaNa ukimuita malaya anakasirika π
Majukumu mengine Kama yapi? Afu hii mada hujaielewa ebu soma vizuri mkuuHayo mabadiliko mnayataka kwenye majukumu ya kiuchumi tu! Ila kwenye majukumu mengine mnataka kila mtu apambane na hali yake!
Mnaokula K kwa jasho mjue hamna mpango na hao mnaowala! Woii kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake you waste her time she wastes your money simple as that!
Karma we unanifurahishaga kweli ukifikaga kwenye point ya kung'ang'ania kidume akaoshe vyombo na kupiga deki. Sasa si uajiri houseboy umlipe tu πππHayo mabadiliko mnayataka kwenye majukumu ya kiuchumi tu! Ila kwenye majukumu mengine mnataka kila mtu apambane na hali yake!
Sasa we unadhani kwann wanaume wanalalamika hapa?!Jiulize kwanini hao hao wanawake mnaosema hawawapi hela wanaume zao unakuta wanawapa baadhi ya ndugu na marafiki au watu wasiojiweza tena kwa moyo mkunjufu kabisa! Instead of calling those women selfish ask yourself why!
We mzee naona uvumilivu wako ni 30% [emoji23][emoji23]
Huo uoga sasa unaharibu chemistry.πππ
Ni kama tu ambavyo mwanamke kumpikia na kumfulia mwanaume wake ni halali ila mwanaume kumpikia na kumfulia mwanamke wake ni kosa! How does that sound?
Halafu kumbukeni mliambiwa mle kwa jasho! Hivi hilo andiko kwanini mnajifanyaga hamlioni lakini lile la kumtawala mwanamke mnaliona wakati yameandikwa kwenye ukurasa mmoja?
Nail on the right spot. Asipoelewa na hapo tutamuita Humphrey Polepole πππSasa we unadhani kwann wanaume wanalalamika hapa?!
Hebu tumia hata figo kufikiria. Hapa tunaongelea swala la kuoneana huruma na sio nani atoe..... Hata kama vitabu vya MUNGU vimeandika kuwa mwanaume atakuwa provider kwa mwanamke maishani mwake ila kuna dosari za kimaisha huwa zinatokea na ndipo hapo hekima na busara hutumika.
Wewe binti unakipato unaishi na mwanaume ambaye unampenda na yeye anakupenda ila ndio hali si nzuri kwake. Ajira ngumu, amekwama, kidogo alichopata kianaishia kwenye bili ya kumeme, maji, chakula na nauli anazotumia kwenye mihangaiko, akipata kidogo anakununulia hata vocha ndipo uwezo wake unaishia hapo.
Wewe una uwezo wa kulipa kodi ya nyumba, una uwezo wa kusapoti gharama zingine na akiba ipo, unakwama wapi kumsaidia mwenzako?!
Hapo ndipo tunapaongelea.... Kwamba unasema upo katika mapenzi, unajiita mwanamke wa fulani halafu akikwama wewe haupo serious nae unaishia kusema kauli za kimbea kuwa mwanaume atatafuta kwa jasho kwan yeye kakwambia hatafuti, kwan kukosa ni dhambi kusema wewe umuone yeye hayupo serious na maisha....?!
Niliamua kuwa mpole tu maana ukishindana na nguruwe kwenye tope yeye anafurahia wakati wewe unachafuka..... Nikakausha tu aishi maisha anayo ya entertain. But nasfini namuombea mabalaa yote sababu mimi sipendagi unafiki na sijawahi Kuchezea mtoto wa mtu...... So huyu nimemkunjia roho na najua ipo siku yatamkuta ya dunia atanikumbuka mbwa yule....Doooooh. Bila huruma mzee ukachinja kuku baharini? [emoji12][emoji28]