Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mkuu na kazi zake kama kupika na kufanya usafi nawe utakuwa unazifanya kiroho safi tu? Au ndiyo yale yale?
Najua kupika vizuri tu na usafi najua kufanya ... Ila inshu ya kusema kua hzo shughuli nitakua nafanya jibu Ni kwamba nitafanya pale nitakapo jiskia kufanya tu..! lakin sio kwamba nitafanya Kama majukumu Yangu ya kila siku ndani ya nyumba ..!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mie mapenzi ya hivyo siwezi, nataka mwanamke ambaye yuko fully independent. Mapenzi ya kuanza kuumiza kichwa na hela za saluni sifanyagi, mizinga ya hovyo hovyo waiii! Demu awe fully fledged lets meet at the top. Lengo ni mapenzi tu sio kusumbuana.
Kaka kwa kizazi cha sasa kupata demu fully fledged utamaliza Tanzania nzima utakutana nao wachache sana. Asilimia 40 ya hao utakaofanikiwa kuwapata basi ni lesbians, 30 ni feminists na waliobakia wameshaumizwa na wapenzi wao kwa kiasi kikubwa. Hawana tena mapenzi ya dhati ndani yao. Ni kama old rusty dumped vehicle that needs restoration. Are you willing to put in work of restoration?
 
😂😂😂😂😂 hahah sema kwa hapa Dar...Ila mikoani tulikuwa tunakula mbichi without spokes!

Hapa mjini demu anakutia spoku mpaka unatoka baru mwenyewe na mchebwede unaweza ukawa hujala bado.
 
Kaka kwa kizazi cha sasa kupata demu fully fledged utamaliza Tanzania nzima utakutana nao wachache sana. Asilimia 40 ya hao utakaofanikiwa kuwapata basi ni lesbians, 30 ni feminists na waliobakia wameshaumizwa na wapenzi wao kwa kiasi kikubwa. Hawana tena mapenzi ya dhati ndani yao. Ni kama old rusty dumped vehicle that needs restoration. Are you willing to put in work of restoration?
Mkuu mbona wapo bado

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Hayo mabadiliko mnayataka kwenye majukumu ya kiuchumi tu! Ila kwenye majukumu mengine mnataka kila mtu apambane na hali yake!
Karma we unanifurahishaga kweli ukifikaga kwenye point ya kung'ang'ania kidume akaoshe vyombo na kupiga deki. Sasa si uajiri houseboy umlipe tu 😂😂😂
 
Mapenzi ni hiari na kutoa fedha ni hiari pia, ukitoa kwa ulazima sio Mapenzi tena.
 
Mnaokula K kwa jasho mjue hamna mpango na hao mnaowala! Woii kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake you waste her time she wastes your money simple as that!
Sio kizembe, tumewastukia 😂
 
Jiulize kwanini hao hao wanawake mnaosema hawawapi hela wanaume zao unakuta wanawapa baadhi ya ndugu na marafiki au watu wasiojiweza tena kwa moyo mkunjufu kabisa! Instead of calling those women selfish ask yourself why!
Sasa we unadhani kwann wanaume wanalalamika hapa?!

Hebu tumia hata figo kufikiria. Hapa tunaongelea swala la kuoneana huruma na sio nani atoe..... Hata kama vitabu vya MUNGU vimeandika kuwa mwanaume atakuwa provider kwa mwanamke maishani mwake ila kuna dosari za kimaisha huwa zinatokea na ndipo hapo hekima na busara hutumika.

Wewe binti unakipato unaishi na mwanaume ambaye unampenda na yeye anakupenda ila ndio hali si nzuri kwake. Ajira ngumu, amekwama, kidogo alichopata kianaishia kwenye bili ya kumeme, maji, chakula na nauli anazotumia kwenye mihangaiko, akipata kidogo anakununulia hata vocha ndipo uwezo wake unaishia hapo.

Wewe una uwezo wa kulipa kodi ya nyumba, una uwezo wa kusapoti gharama zingine na akiba ipo, unakwama wapi kumsaidia mwenzako?!

Hapo ndipo tunapaongelea.... Kwamba unasema upo katika mapenzi, unajiita mwanamke wa fulani halafu akikwama wewe haupo serious nae unaishia kusema kauli za kimbea kuwa mwanaume atatafuta kwa jasho kwan yeye kakwambia hatafuti, kwan kukosa ni dhambi kusema wewe umuone yeye hayupo serious na maisha....?!
 
Ninakusalimia tu....!
Ni kama tu ambavyo mwanamke kumpikia na kumfulia mwanaume wake ni halali ila mwanaume kumpikia na kumfulia mwanamke wake ni kosa! How does that sound?

Halafu kumbukeni mliambiwa mle kwa jasho! Hivi hilo andiko kwanini mnajifanyaga hamlioni lakini lile la kumtawala mwanamke mnaliona wakati yameandikwa kwenye ukurasa mmoja?
 
Sasa we unadhani kwann wanaume wanalalamika hapa?!

Hebu tumia hata figo kufikiria. Hapa tunaongelea swala la kuoneana huruma na sio nani atoe..... Hata kama vitabu vya MUNGU vimeandika kuwa mwanaume atakuwa provider kwa mwanamke maishani mwake ila kuna dosari za kimaisha huwa zinatokea na ndipo hapo hekima na busara hutumika.

Wewe binti unakipato unaishi na mwanaume ambaye unampenda na yeye anakupenda ila ndio hali si nzuri kwake. Ajira ngumu, amekwama, kidogo alichopata kianaishia kwenye bili ya kumeme, maji, chakula na nauli anazotumia kwenye mihangaiko, akipata kidogo anakununulia hata vocha ndipo uwezo wake unaishia hapo.

Wewe una uwezo wa kulipa kodi ya nyumba, una uwezo wa kusapoti gharama zingine na akiba ipo, unakwama wapi kumsaidia mwenzako?!

Hapo ndipo tunapaongelea.... Kwamba unasema upo katika mapenzi, unajiita mwanamke wa fulani halafu akikwama wewe haupo serious nae unaishia kusema kauli za kimbea kuwa mwanaume atatafuta kwa jasho kwan yeye kakwambia hatafuti, kwan kukosa ni dhambi kusema wewe umuone yeye hayupo serious na maisha....?!
Nail on the right spot. Asipoelewa na hapo tutamuita Humphrey Polepole 😂😂😂
 
Doooooh. Bila huruma mzee ukachinja kuku baharini? [emoji12][emoji28]
Niliamua kuwa mpole tu maana ukishindana na nguruwe kwenye tope yeye anafurahia wakati wewe unachafuka..... Nikakausha tu aishi maisha anayo ya entertain. But nasfini namuombea mabalaa yote sababu mimi sipendagi unafiki na sijawahi Kuchezea mtoto wa mtu...... So huyu nimemkunjia roho na najua ipo siku yatamkuta ya dunia atanikumbuka mbwa yule....
 
Back
Top Bottom