Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Unajiharibu ujue.....?!Kwa kweli mimi kuliko kuwa kwenye mahusiano kama hayo ni bora nibaki single hadi nakufa! African men demand a lot from their women more than they can give!
No body will fix you.... Fix yourself before its too late......
We unasusa mapenzi..... Mapenzi ni chakula cha moyo na akili, ukisusa utaumia wewe mpenzi....... Imagine unasusa wenzako unaona wanaolewa wanakwenda kuanza maisha ya ndoa wewe unabakia kulalamika na kuongea kauli za hasira..... Pole sana.