Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Sawa tupo hapa, tutajioneaSi mmeshakariri ndiyo maana! Mimi siyo wa kwanza na wala sitakuwa wa mwisho na ndiyo maana nikakuambia kitu kama haujawahi kukiona wala kukisikia haimaanishi hakipo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tupo hapa, tutajioneaSi mmeshakariri ndiyo maana! Mimi siyo wa kwanza na wala sitakuwa wa mwisho na ndiyo maana nikakuambia kitu kama haujawahi kukiona wala kukisikia haimaanishi hakipo!
Unanichosha tu hapa....Kuuliza swali nayo ni njia mojawapo ya kujibu swali! Hivyo nimeona nitumie njia hiyo ili tusizunguke sana tukapotezeana muda!
Kama wewe unaonekana ni mtoto muerevu sana......Hawa ndiyo wale waliokariri kwamba kukuwa kiumri ndiyo kukuwa kiakili! Wanajifanya hawajui kwamba kuna watu wazima ila ni wapumbavu na kuna watoto wadogo ila ni werevu yaani wanalazimisha kila kitu kwenye maisha kiwe na kanuni moja!
Usaliti na UnyanyasajiKama yapi, tell me ambayo unaona wewe huyawezi.
Wewe ni muongoWoii naongelea mwanaume kujitoa kwa mke wake na siyo kwa watoto si unaona sasa unavyochanganya madesa? Kwa bahati nzuri baba yangu hanaga itikadi za kutaka kushindana na mama kwenye kutoa pesa sababu anajua ni jukumu lake mama anatoa tu kwenye mambo madogo madogo!
Anakataa halafu anakubali hicho hicho alichokataa..... Huyu unaweza kuta ni bikra bado na ndio imeanza kumletea wenge inatakiwa kutolewa.Kwani baba yako alikuwa anambagua mama yako? Or whats up? Kumbe mama yako alikuwa anamsaidia pia ..Taratibu tu tutaelewana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa hamna maswala ya mitume. Huko tutafungulia uzi mwingine. We ni mvivu tatizo. Halafu mwanamke kuwa mvivu haipendezi, sasa ukijaaliwa mapacha wa 3 siku moja utafanyaje. Maana hapo mtoto wala familia huna ila mvivu kichizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajichanganya sana katika maelezo yako. Yaani hapa unahamahama topic, haujibu unachoulizwa na pia ukitoa hoja yako haulengi mada yetu..... MweHalafu nikuambie kitu kimoja! Mimi kwa mwanaume huwa siangalii pesa ikiwa tu huyo mwanaume siyo msaliti wala mnyanyasaji! Ila tofauti na hapo huyo mwanaume ni wa kuliwa tu pesa zake hata siwaonei huruma wanaume wa hivyo!
Sio ajabu lakini...nahisi ndivyo baba yako alivyofanyiwa na mamaako na uliyashuhudia ukahisi ndio namna sahihi ya kuishi na mwanaume.Sasa kama mwanaume anafanya majukumu yake yote bila mimi kumsaidia kwanini mimi nitake anisaidie ya kwangu? Tena mwanaume kama huyo akitaka kuingia jikoni namfukuza kabisa namuambia asubiri kuletewa mezani na kulishwa kabisa!
Shida inakuja pale mwanaume anapotaka umsaidie majukumu yake! Na yeye siyo mbaya siku moja akinisadia ya kwangu na wala siyo kwa kupangiana zamu bali ni hadi ajisikie mwenyewe!
We mwanaume una mambo ya ajabu sana aise! Yaani kwahiyo wewe kwako mwanaume kufanya kazi za ndani unaona kama kadharauliwa siyo?Kwamba hao wanaume unao wa describe hapo wote hawawezi kukutia mimba ukawa mjamzito au tofuati yao inakuwa ni nini?
Nyie ndio ambao mnahisi mtu mwenye dharau anaehonga ndio anastahili heshima ila mwenye busara ni wa kupuuzwa tu. At the same time unajidai unaweza date na mwanaume asie na pesa ilimradi asiwe malaya tu? [emoji23][emoji23][emoji23] My friend kuwa makini!!!
Halafu kama kwenu ndio mafunzo mliopewa kuwa muwe na adabu kwa wanaume wenye uwezo kuwazidi basi hakika babaako atakuwa mtu mwenye hasara sana hapa duniani.
Na pia napata concept mama yako ni mwanamke wa aina gani..Nilihisi ni mtu wa maana hapo awali ila kumbe kumpigisha deki babaako na kumfulisha nguo zake na kumsuuzisha vyombo ni sababu mamaako alimdharau kwa kuwa anasaidia kulipa bili.
Kwahio nyie mnaona sifa kuwa vichwa banju? Endeleeni na ujuaji tu shauri lenu.We mwanaume una mambo ya ajabu sana aise! Yaani kwahiyo wewe kwako mwanaume kufanya kazi za ndani unaona kama kadharauliwa siyo?
Yaani tena ungejua namna wanawake wengi tunavyowaheshimu wanaume wa hivyo hata usingekuwa unajiropokesha hapa kana kwamba unatujua sana! Halafu unajua wanaume mliobaki na mitazamo kama yako ni wachache sana kwa dunia ya sasa wanaume wengi walishatoka huko yaani siamini kama wewe tumekaa siku mbili tunabishana kuhusu kazi za ndani tu wakati kuna wanaume wengine comment za mwanzo tu huwa wanakiri kuwa kazi za ndani wanafanya bila shida na hawadharauliwi!
Halafu ninyi si ndiyo kutwa kuwaambia wanawake wa kibongo oohh acheni uzungu sijui bla bla kwani ninyi huo utamaduni wa kutaka mwanamke naye amuhudumie mwanaume wake ni wa kwetu? Huo nao si ni wa wazungu?
Tena hao hao wazungu mnaotaka tuwaige kwenye huo utamaduni ndiyo hao hao ambao mwanaume haoni shida kuamka asubuhi na kumuandalia mwanamke wake bed breakfast! Muambie hizo habari mwanaume wa kibongo uone anavyokutukana halafu eti pesa anataka apewe kama ambavyo wanawake wa kizungu wanafanya!
Halafu kuhusu familia yetu hebu usijifanye unakaza kichwa! Nimetoka kukuambia hapo kuwa mzee kufanya kazi za ndani hajaanza kwenye ndoa wazazi wake yaani babu na bibi yetu ndiyo walimlea hivyo yaani kwao wote wamelelewa hivyo kwahiyo mama kaolewa kamkuta mzee na itikadi hizo!
Kwangu sio ishu kama unavyodhania.
Siku akijisikia kufanya kazi za ndani atafanya kwa hiari yake na mapenzi yake hakuna anayemlazimisha na mama yetu pia pesa anatafuta na mahitaji madogo ya nyumbani huwa anachangia yeye au siku mzee akikwama anampiga tafu! Halafu nikuambie sasa mama yetu ni wife material hadi anakera kwetu wote tumezaliwa wa kike lakini hajawahi kutuinspire hata siku moja kwa uwife material wake na hakuna mwanaye hata mmoja ambaye yuko willing kufuata nyayo zake hilo hata yeye huwa tunamchana live!
Kwanini kila inapotokea ajali inaonekana mwanamke ndiye aliyesababisha? Hilo ndiyo swali langu!Mwanamke remote yake ni mume! Mume akishindwa kuitumia remote mke akaishika hata kwa bahati mbaya lazima ajali itatokea. Reason behind! Poor reasoning ability..
Vice versa might be true also! Hapo sijajiongelea mimi binafsi sababu mie siyo mtoto!Kama wewe unaonekana ni mtoto muerevu sana......
Kwani ukikataa wewe ndiyo inabadilisha ukweli? Kuna watu mnafurahisha jamani!Wewe ni muongo
Ulijuaje? [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Anakataa halafu anakubali hicho hicho alichokataa..... Huyu unaweza kuta ni bikra bado na ndio imeanza kumletea wenge inatakiwa kutolewa.
Na wala hautakaa unielewe mpenzi! Kwa sababu umeshachagua kukaza kichwa na kutokunielewa!Unajichanganya sana katika maelezo yako. Yaani hapa unahamahama topic, haujibu unachoulizwa na pia ukitoa hoja yako haulengi mada yetu..... Mwe
Kwa kukusaidia tu hebu jaribu kuuliza mahali popote ni wapi na lini mwanaume wa kinyakyusa aliwahi kupandwa kichwani na mwanamke? Tatizo ni kwamba tunatofautiana tu kwenye tafsiri ya neno kukaliwa ambapo wewe na baadhi ya vilaza wenzio mnatafsiri mwanaume kufanya kazi za ndani hata kwa hiari yake mwenyewe ni kukaliwa! [emoji4][emoji4]Sio ajabu lakini...nahisi ndivyo baba yako alivyofanyiwa na mamaako na uliyashuhudia ukahisi ndio namna sahihi ya kuishi na mwanaume.
Mamaako alimkalia baba na akawa ndio mwenye sauti ndani ya nyumba.
Tuko very proud kwa kweli kuwa "vichwa banju" na hata akijaribu kutuasa huwa tunamuambia mama siyo kila mwanaume yuko kama baba hawa wanaume wa siku hizi ni kazi bure kabisa! Basi na alivyo mpole anaishia tu kusema Mungu atusaidie huu ushindikana ututoke ila hapana kwa kweli katika vitu ambavyo mimi namuomba Mungu ni aniachie huu ushindikana wangu nisije nikaja kugawana majengo ya serikali na mtoto wa mtu!Kwahio nyie mnaona sifa kuwa vichwa banju? Endeleeni na ujuaji tu shauri lenu.
Mie nimeishi mwenyewe naelewa jinsi ya kufanya kila shughuli mwenyewe ila tu naona fahari akizifanya hizo kazi mke wangu japo naweza kumsaidia pia when i want to.
Kwangu sio ishu kufanya hivyo.