Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Ndivyo unaweza kujidai katika UGA wa mapenzi, Ladha ni ulimi Ladha ni kirungu na kila ana chake na ulimi wake kama ilivyo kwenye mbegu ya harage kila mtu na harage lake.
Hata muwe mapacha hakuna Ladha ya mfanano.
Ukipandwa na hisia huo ni ulevi wako
Hata muwe mapacha hakuna Ladha ya mfanano.
Ukipandwa na hisia huo ni ulevi wako