Brain Kingdom JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 7,002 Reaction score 14,570 Apr 15, 2025 #1 Ndivyo unaweza kujidai katika UGA wa mapenzi, Ladha ni ulimi Ladha ni kirungu na kila ana chake na ulimi wake kama ilivyo kwenye mbegu ya harage kila mtu na harage lake. Hata muwe mapacha hakuna Ladha ya mfanano. Ukipandwa na hisia huo ni ulevi wako
Ndivyo unaweza kujidai katika UGA wa mapenzi, Ladha ni ulimi Ladha ni kirungu na kila ana chake na ulimi wake kama ilivyo kwenye mbegu ya harage kila mtu na harage lake. Hata muwe mapacha hakuna Ladha ya mfanano. Ukipandwa na hisia huo ni ulevi wako