Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Acha tuambiane ukweli usikose mapenzi na kufanya mapenzi uko hatarini kuwa mwehu na kukosa afya akili, unapungukiwa furaha na amani, unakuwa zobe, zuzu, bwege, unakuwa kichaa unajawa na hasira hasira, kununa, kususa, umbea mwingi, unakosa focus na concentration ya kufikiria vizuri.
Damu inakosa kutembea vizuri kwenye njia zake kwa usahihi.
Niwaambie tu mapenzi ndio maisha na mapenzi ndio kuishi,
Naomba ifahamike tuunge mkono kauli mbiu ya kataa kuoa kataa ndoa kwa maana ukiwa bachelor mwenye vibe lake ndio utafurahia mapenzi
Tukutane kwenye comments
Wadiz