Mapenzi ni sanaa, ukiyatumia vizuri yanaweka kumbukumbu kwa aliyetendewa

Mapenzi ni sanaa, ukiyatumia vizuri yanaweka kumbukumbu kwa aliyetendewa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Jitahidi unapokuwa kwenye mahusiano, utumie sanaa zaidi ili kuuteka moyo wa mpenzi wako. Mfano umemtongoza X leo, usikimbilie kwenye tendo moja kwa moja, bali muwekee mazingira ya yeye kuendelea kuwa karibu na wewe.

Mfano kutembea tembea maeneo mbalimbali, kukumbatiana, kutumiana meseji tamu tamu, kumpa uchangamfu n.k.

Pia na kwenye tendo hakikisha kila kona unatwanga vizuri, iwe kaskazini, kusini, mashariki au magharibi; ili siku mkiachana awe anakumbukia yale matendo au matukio uliyokuwa ukimfanyia.
 
Back
Top Bottom