Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie huu msemo unanichekesha haki!
Cheka tuu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie huu msemo unanichekesha haki!
EeehhhAkitaka pesa,unamwambia akinyofoe hicho kinachouzwa akuuzie kwa gharama yoyote
Inakua powah tuu, na mawenzini nafika mara buku 😊Mihamala ikiwa vizuri huku ana mtoto wa bamia,hapo inakuwaje?Kwani nyie huwa hamna hisia?
Nami nilikua natafuta hilo neno nimeishia kuona magharibi, mashariki,kusini😀😀Yaani maandishi yooote hayo hakuna ulipoandika pesa[emoji134][emoji134][emoji134]
Anayetaka pesa maana yake kuna kitu anauzaEeehhh
😃😃😃 tunafananami ni kiona dalili tu ndukiiii, sipendi kujipa stress kwa kitu nachoona hakiwezekani tena
Utakuwa unaigiza ili kumridhishaInakua powah tuu, na mawenzini nafika mara buku 😊
hiyo inaitwa kusaga na kukoboaNami nilikua natafuta hilo neno nimeishia kuona magharibi, mashariki,kusini😀😀
ha ha ha ha mi nakuwa nampelekea moto wa ukweli,lazima atakuwa ananikumbuka muda woteWee endelea kumbusu na kumkumbatia, wenzio wanamtumia miamala heavy, uliza anayekumbukwa hapo😀😀 shtuka Bro!
For actionNoted
Yaani hapo unakumbuka nini sasa[emoji1745][emoji1745][emoji1745]Nami nilikua natafuta hilo neno nimeishia kuona magharibi, mashariki,kusini[emoji3][emoji3]
Wee endelea kumbusu na kumkumbatia, wenzio wanamtumia miamala heavy, uliza anayekumbukwa hapo
ha ha ha ha kwa nini mkuu
Mkuu nyie mna matukio sanaha ha ha ha kwa nini mkuu
ha ha ha ha ni kuburudisha tu mkuuMkuu nyie mna matukio sana