Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hata wewe mkuu,unaweza kutupatia abc
ha ha ha mkuu,hujawahi kutendwamliotendwa mlete shuhuda dhidi ya madai haya
ha ha ha hela sio kila kitu mkuuHuna HELA wewe.umebaki kujifariji
mi ni kiona dalili tu ndukiiii, sipendi kujipa stress kwa kitu nachoona hakiwezekani tenaha ha ha mkuu,hujawahi kutendwa
ha ha ha hapo unakuwa unaumiza nafsimi ni kiona dalili tu ndukiiii, sipendi kujipa stress kwa kitu nachoona hakiwezekani tena
bora nusu maumiv kuliko maumiv kamiliha ha ha hapo unakuwa unaumiza nafsi
Mwenye pesa zake kaja sasaYaani maandishi yooote hayo hakuna ulipoandika pesa[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenye pesa zake kaja sasa
Haya endelea ku-forward emoji za mapenzi.ha ha ha hela sio kila kitu mkuu
Pesa ya nini mkuuYaani maandishi yooote hayo hakuna ulipoandika pesa[emoji134][emoji134][emoji134]
Mihamala ikiwa vizuri huku ana mtoto wa bamia,hapo inakuwaje?Kwani nyie huwa hamna hisia?Utakumbukwa kwa miamala lkn si vinginevyo ππ
Katika mapenzi ukitanguliza hela,hayo sio mapenzi,bali unanunua huduma kama unavyoenda dukani kununua sukariHaya endelea ku-forward emoji za mapenzi.
Akitaka pesa,unamwambia akinyofoe hicho kinachouzwa akuuzie kwa gharama yoyoteMwenye pesa zake kaja sasa