Mapenzi ni sumu kaliiii, nisaidieni!

Mapenzi ni sumu kaliiii, nisaidieni!

naona ww utakuwa umefeli form 4 manake hata kufikiri kwako zero kabisa tena jiite zero brain huna haya kabisa unataka kuoa mtoto wa kidato cha 4 badala ya kumwacha afaulu ajiendeleze baadae kama Mungu akipenda mtaoana sasa ukimwoa awe mtu wa kukaa tu ndani atafanya kazi gani?? sisi tulio na vidigrii tunaona bado havitoshi tunajitahidi kuongeza kingine ili walau nipande kacheo nijimudu ww unawazia kuoa mwanafunzi?? sidhani kama akili yako ina akili tena umejiunga leo leo kutuchefua ngekuwa karibu ngekuchapa kofi la nguvu uzimie tena uhame Tanzania haikufai.

Umekasirika vibaya, ushauri hujatoa.
Matusi umemimina, hakuna kilichoeleweka.
hufai kuitwa Greti thinker, magonjwa yamekunasa
ungeenda Loliondo, kikombe kikusaidie.
 
Hallo,
Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao.
Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa umefikia wakati mimi nataka nioe mwaka kesho, na nilimwambia kabla ya kusign in yaani kukubaliana naye, hakuzungumzia zaidi kuhusu hilo.

Msichana anauwezo mkubwa darasani yuko tatu bora! Sasa amesema kuona naye mwaka kesho ni lazima. Amesema atatumia mbinu yoyote ile ili mimi na yeye tuoane mwaka kesho! Sasa nifanyeje, niachane naye maana najua atajifelisha ili tuoane, na akifaulu kwenda kidato cha tano itakuwaje? Hataki tuachane ng'o!
Nisaidieni wanajamvi ni wakati mgumu!
Asanteni.

Wewe na huyo msichana wote ni Madebe Matupu au Maji Taka!!!

Mzazi anakula dagaa kumsomesha mtoto, bado hajamliza hata kidato cha nne wewe unatangaza ndoa? Stupid boy!

Na nitahakikisha nakufuatilia na kujua kama hiyo azma yako itatimia! pumbavu mkubwa!
 
Mimi nimeumia saaaana kugundua uyo binti ni form four, ushauri ninaokupa usikilize kwa makini
Kwanza mpe mtoto nafasi aweze kujiendeleza na mapenzi yapo tu na yataendelea kuwepo. Uyo msichana anamapenzi ya kitoto so angalia mbele
 
Back
Top Bottom