Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona ww utakuwa umefeli form 4 manake hata kufikiri kwako zero kabisa tena jiite zero brain huna haya kabisa unataka kuoa mtoto wa kidato cha 4 badala ya kumwacha afaulu ajiendeleze baadae kama Mungu akipenda mtaoana sasa ukimwoa awe mtu wa kukaa tu ndani atafanya kazi gani?? sisi tulio na vidigrii tunaona bado havitoshi tunajitahidi kuongeza kingine ili walau nipande kacheo nijimudu ww unawazia kuoa mwanafunzi?? sidhani kama akili yako ina akili tena umejiunga leo leo kutuchefua ngekuwa karibu ngekuchapa kofi la nguvu uzimie tena uhame Tanzania haikufai.
Hivi Shossi kaenda wapi? alikuwa mkali wa mashairi..
Hallo,
Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao.
Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa umefikia wakati mimi nataka nioe mwaka kesho, na nilimwambia kabla ya kusign in yaani kukubaliana naye, hakuzungumzia zaidi kuhusu hilo.
Msichana anauwezo mkubwa darasani yuko tatu bora! Sasa amesema kuona naye mwaka kesho ni lazima. Amesema atatumia mbinu yoyote ile ili mimi na yeye tuoane mwaka kesho! Sasa nifanyeje, niachane naye maana najua atajifelisha ili tuoane, na akifaulu kwenda kidato cha tano itakuwaje? Hataki tuachane ng'o!
Nisaidieni wanajamvi ni wakati mgumu!
Asanteni.