INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
- Thread starter
- #21
Acha mkuu naona watu wanavyojibu kirahisi.Sentensi ya kwanza mwishoni baada ya coma.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hisia ni kitu huwezi kukielezea anayejua ni mwenye nazo.
Sent using Jamii Forums mobile app