Mapenzi nimeyanyooshea mikono

Mapenzi nimeyanyooshea mikono

Eti naangalia juu namuona yeye tu... wap pumbav adui mkubwa wa maisha yako ni mawazo yako mwenyew acha kuwaza waza na kuvipa kipaumbele vitu vinavyokuumiza badilisha hayo mawazo.
 
Sasa dogo unataka kutufundisha sisi watu wazima? umelikoroga pambana na hali yako. Halafu nyie watoto wa sekondari siku hizi mmekuja na mitopiki ya kimama sana. Nataka kuacha kuingia JF mpaka shule zifunguliwe ndio narudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii reply yako mkuu imeniganya nicheke utadhani ni mazuri au yanachekesha unayo yaongea lahasha ila vile ulivyoingia kama bigi ambaye unamjua jamaa kuwa ni mdoho na ni form two aliyefunga shule

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Angefahamu ni graduates tayari na mwenye kufanya mambo makubwa kiufanisi lakini mapenzi ndio yananifanya nionekane mtoto.

Au ndio maana kina Isaac Newton waliamua ku entertain hivi vitu wakijua impacts zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani amenijibu positively japo nae mwanzoni wakati ananijibu alianza kuonesha hayupo tayari ndipo baadae kaanza kukubali tuonane uso kwa uso.

Lesson learned aysee. Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom