Inatosha nikuite mjinga wa mapenzi,
In short ww Bado dogo Sana kwenye mahusiano, afu uyo atakuwa first love wako,
Eti unaomba msamaha kwa makosa yasiyo yako, et unaambiwa huwezi mpata perfect, basi atakuwa anatumia kigezo hicho Cha kutokuwa perfect kukucheat, maana umedisplay udhaifu wako.
Sikulaumu kwa huu udhaifu wako maana sote tumejifunza kupitia udhaifu.
Lakini ukweli uujue kwamba your girl anakutake for granted.
Iam sure mda si mwingi utarudi kuomba ushauri.
Dogo kataa kuongozwa na hisia, jebu tumia na ka akili kidogo.
Alafu inaonekana ww umependa Sana kuliko anavokupenda wewe.
Lastly Rudi shule usome.
Abstain sexual intercourse.
Shukrani amenijibu positively japo nae mwanzoni wakati ananijibu alianza kuonesha hayupo tayari ndipo baadae kaanza kukubali tuonane uso kwa uso.
Lesson learned aysee. Duh!
Sent using
Jamii Forums mobile app