The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Utoto raha sana aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani wazee wetu walikua wanachonga vitanda futi Tatu na nusu au Tatu, wakigombana mchana usiku Muda wa kulala lazima watagusana sababu kitanda kidogo, ule mgusano utaendelea mpaka watapeana mambo ya Kikubwa na kuombana msamaha maisha yanasonga.
Shukrani amenijibu positively japo nae mwanzoni wakati ananijibu alianza kuonesha hayupo tayari ndipo baadae kaanza kukubali tuonane uso kwa uso.
Lesson learned aysee. Duh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiniona huwezi amini ni kama bubu, muda wote nasikiliza na kuangalia vitu. Naongea ikinibidi au nikilewa kidogo tena ni lugha ya malkia mpaka na bore.
Naomba unipe ufafanuzi side effects zake.Siku nyingine usijaribu kutumia Valium bila ushauri wa Daktari. Unayaweka maisha yako hatarini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, utoto wa kwenye mapenzi ni raha na shubiri sijapata kuona.Utoto raha sana aisee!
Uvumilivu umenishinda, yanini kuteseka hivi, nimemcheki muda si mrefu kwamba nilikosea nasubiria anijibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndio nimekosea. Hakukuwa na ushahidi wa kuwa ana mtu mwingine ndio maana alinionesha chat za huyo mtu ambaye nilidhani wapo pamoja.Umekosewa wewe na msamaha unaomba wewe. Mbaya zaidi unatupa na ushauri sisi!
Acha ufala dogo, be a man, and move on.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo. Unaweza kukuta mimi ni shemeji yako. Usikurupuke, after all we're all behind keyboard.
Ahsante mkuu.Pole mzee baba wanawake wapo wengi,mblack list tafuta chombo kingne ule maisha,kama anakupenda atakutafuta soon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, at last ameridhia tuonane tuongee.Vipi, ameshajibu esemes?